MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,191
- 7,324
habari wadau..
hivi lini mjomba magu anatimba TFF..
haiwezekani Uganda wapo milion 30 na wana shida zaidi yetu.. tumewazidi kila kitu lakini wao wanafanikiwa kuliko sisi..
Tff kuna jipu kubwa sana..
yaaani Uganda ana qualify mataifa africa kwa kuwatumia hao hao kina okwi sio tusingizie wanacheza ulaya wala nini.. sisi tunao kina samatta ila story tuuu...
Tanzania ya viwanda haiwez kuja kwa kulea kiwanda cha wavivu ambacho ni TFF
watu wanakula mishahara ya bure tu