Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,462
- 3,133
Timu ya wananchi inaongoza goli 2-0 mpira ni mapumziko.
Kama mlivyoshabikia nyie mikia goli lenu la manunuzi Jana!mnashangilia hadi bonanza
Yanga wamepata penati Msuva anakosaSimba inachechemea tu !
YangaTupe line ups na subs zake mkuu...
Zamani mlikuwa mnaliita Bonge la kombe, leo kwa kuwa tumewafuata kuwafurusha mnaita bonanza.mnashangilia hadi bonanza
Ametoka Haruna Niyonzima ameingia Deus KasekeTupe line ups na subs zake mkuu...
Ungeuona mpira wanaocheza Yanga hapa Aman hayo maneno yasingekutoka Mkuu.Leo sita hazipo zinaanza kupungua adi nusu fainal yanga itakua na sifuri mpira plan na ndo cmba wanachofnya
Anatoka Emmanuel Martin anaingia Geophrey MwashiuyaTupe line ups na subs zake mkuu...
Said Juma Makapu ameingia ametoka Thaban KamusokoTupe line ups na subs zake mkuu...
Msuva mchezaji bora wa mechi ya leoTupe line ups na subs zake mkuu...
Oscar Joshua ameingia ametoka Juma MahadhiTupe line ups na subs zake mkuu...
Msuva kafunga bao zote mbili dakika ya 11 na 21Simba inachechemea tu !
Mpira umekwisha Yanga 2 Zimamoto 0Tupe line ups na subs zake mkuu...