Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,113
- 24,642
Yule aliyekuwa msemaji wa club ile yenye makazi yake katika eneo maarufu mitaa ya jangwani inayosifika kuwa na boti za mwendo kasi wa hali ya juu hasa wakati wa mafuriko, amejitokeza hadharani kutoka alikokuwa amejificha na kuomba kurudi kwenye kibarua chake ili aweze kupata mahitaji yake muhimu kama binadamu wengine
Ikumbukwe mropokaji huyu alipewa adhabu ya mwaka mmoja, na hadi kufikia hivi sasa imetimia miezi sita ya adhabu yake.
Juu ni barua aliyoiandika ili kuweza kupata huruma ya utukufu wa TFF.
Bila shaka hatua ya kufanya hivyo imetokana na kauli ya Manara alipotaka aombe msamaha ili arudi kwenye mstari kwa kuwa atakuwa ameshaelewa jinsi mpira unavyoendeshwa.
My take; Muro mpira siyo siasa wala uropokaji, mpira ni taaluma. Kuwa msemaji wa club haihitaji kuzungumza maneno ya taarabu, muone mwenzio Manara mheshimu sana. Othewise upigwe ban ya miaka 70.