sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Nanukuu...
BEKI mkongwe wa Simba raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali leo amethibitisha tena kuwa anastahili kuitwa 'Baba mwenye nyumba' baada kuonyesha umahiri mkubwa kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya URA uliomalizika kwa sare tasa.
Mwandishi anaendelea...
Mlinzi huyo mtulivu alifanikiwa kuzima hatari zote zilizoelekezwa langoni mwao hali iliyolishawishi jopo la makocha kumtangaza mchezaji bora wa mechi ikiwa ni mara ya pili katika michuano hiyo inayoendelea kwenye dimba la Amaan hapa visiwani Zanzibar.
Mwandishi anamalizia...
Simba itamaliza mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwa kumenyana na Jang'ombe Boys huku URA ikimaliza na Taifa Jang'ombe..
ANGALIZO: Tarehe 13.01.2017.. si mbali tukutane fainali..