Nani kampiga misumari Kichuya?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,733
239,339
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.

Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli, kuna nini kimemtokea?
 
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.

Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli , kuna nini kimemtokea ?
Kichuya ni winga,kufunga siyo jukumu lake namba moja BALI kutengeneza mashambulizi au nafasi kwa strikers kufungua.Kufunga ni jukumu la pili kwake.
Aidha, mpira wetu ni mgumu kwa kuwa kukamiana ndiyo habari ya soka la. Bongo,mabeki wako tayari wafungwe na Pastory lakini eiyo Kichuya wala Mavugo.
 
wanaoua viwango vya wachezaji Tz ni wanahabari na Mashabiki wenyewe mara leo wamemchangia pesa Kesho gazeti likiandika Kichuya kama Messi ndo basi hata motion inabadilika kabisa.

wachezaji wajue mpira ndo kazi yao.

Yuko wapi Singano leo? Simba to Azam kiwango chali

hakuna cha Uchawi wala nini Leo Nigeria wangekua na kila kombe kama kuna Uchawi kwenye Soka
 
Dah! Hilo la Singano mjomba umegonga penyewe hasa .
 
Dah! Hilo la Singano mjomba umegonga penyewe hasa .
hatukatai Pesa ni Muhimu ila wajitaidi kulinda na Viwango vyao huko Waendako.

kuna Vipaji vimezimika Ghafla kama Mshumaa tena bado wakiwa Vijana tuu.

Mtu kama Domayo alitakiwa Awe mbali Sana,Singano alikua anakuja vizuri sana
 
Kichuya ni winga,kufunga siyo jukumu lake namba moja BALI kutengeneza mashambulizi au nafasi kwa strikers kufungua.Kufunga ni jukumu la pili kwake.
Aidha, mpira wetu ni mgumu kwa kuwa kukamiana ndiyo habari ya soka la. Bongo,mabeki wako tayari wafungwe na Pastory lakini eiyo Kichuya wala Mavugo.
Ameshatoa assist ngapi mpaka sasa hivi??kichuya ni kiungo mshambuliaji then unasema sio jukumu lake kufunga mwee...haya tuambie katoa assist ngapi toka aache kutotimiza jukumu ambalo sio lake yaani kufunga?
 
Wanabodi kuna kitu mnasahau, viwango vya soka vya wachezaji 99% ya Tanzania, ni vya kawaida mno, huwa inatokea ndani ya muda mfupi tu kushine, muda uliobaki wanacheza katika uhalisia wao wa asili, Singano, Kichuya, Ame Ally, Manyika Jr, hakuna miiba wala cha kushangaa hapo!
 
wanaoua viwango ni magazeti yetu na yeye mwenyewe, magazeti yalimpamba sana kila gazeti ukinunua hukosi habari ya Kichuya matokeo sifa zikaingia kichwani.
Yeye mwenyewe ukimwangalia hachezi kitimu anataka sifa binafsi zaidi anasahau wajibu wake sasa anataka apige shuti la kufunga hata kama hamna uwezekano wa kufunga amekuwa hawapi wenzake pasi pale wanapostahili wakati yeye kama winga anatakiwa kuwa mchezeshaji wa washambuliaji wa kati
 
Wakuu inasemekana kwenye haya mambo ya simba na yanga kuna kupigana misumari.

Sasa nimeangalia kiwango cha hivi karibuni cha huyu mchezaji wetu kiukweli nimestaajabu ! Si yule Kichuya wa kona - goli, kuna nini kimemtokea?
Shida ya Mikia FC mpk kama mademu wa Facebook, maji mara moja mshakolea swaga...huyu Kichuya anampira gani wa kutisha km sio wazimu wenu?

Kile kigoli cha mdondo alichombahatisha Bartez? Walllah angekaa Dida golini usingesikia chuya wala mchele kitambo. Hamna mtu mule, hajapigwa misumari wala nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom