Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kigezo ni ujuzi wawapo uwanjani, ujasiri wa kufanya mambo tofauti na inavyo tarajia, japo wengi hawakupata nafasi vilab vikubwa.
1. Weah (liberia)
2. Patrick mboma ( Cameroon) ,
3. Okocha
4. KANU
5. Song ( mzee)
6. Diof
7. Etoo
8. Drogba
9.Yayha toure
10. Roger milla
11. Kalusha bwalya
Ila Joseph mahundi sijajua ni wa nchi gani ningemweka hapa.
1. Weah (liberia)
2. Patrick mboma ( Cameroon) ,
3. Okocha
4. KANU
5. Song ( mzee)
6. Diof
7. Etoo
8. Drogba
9.Yayha toure
10. Roger milla
11. Kalusha bwalya
Ila Joseph mahundi sijajua ni wa nchi gani ningemweka hapa.