Bila shaka mmethibitisha nyie ni timu bora kusini mwa jangwa la sahara. Ni makosa madogo tu, yametugharimu.
Tumekuwa na wadosi njaa wanaojifanya wanapenda mochezo kumbe wachumia tumbo tu.
Mmoja...
Kwanza poleni kwa kutolewa japo sijaumia. Tunaomba TFF mtupe mapato na matumizi ya michango mbalimbali ya wadau
1. Jumla tulikusanya kiasi gani?
2. Tumetumia kiasi gani?
3. Kimebaki kiasi gani...
Ndugu wanabodi. I salute
Niende moja kwa moja kwenye hoja kubwa hapo juu...mimi ni mshabiki wa timu flan flan si yanga wala simba. Ninamapenzi na timu yetu ya TAIFA hata jana niliumia ana...
Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na '...
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu...
Kitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya soka lizidi kudidimia hapa...
Leo Mei 19, 2017 kocha wa Taifa Stars Salum Mayanga ametanga kikosi cha wachezaji watakaoingia kambini kwa ajaili ya mechi ya Juni 10, 2017 dhidi ya Lethoto kuwania kufuzu kucheza fainali za...
Baada ya kuunguruma kwa takribani miezi tisa (August -May),hatimaye leo tunaelekea kwenye mwisho wa msimu wa Ligi kuu ya soka Tanzania Bara (VPL)
Leo hii viwanja 8 vitawaka moto,lakini macho na...
Nikiwa mshabiki wa Klabu ya Simba nilikuwa na wazo la kuwepo kwa rangi mbadala katika mavazi na jezi za klabu yetu tofauti na rangi zetu za asili ambazo ni nyekundu(home) na njeupe (away).
Rangi...
Jamani, hii gemu ya Serengeti boys dhidi ya Niger imekwisha, tumefungwa 2-1, Mimi nilijua tutafungwa hasa baada ya kumsikiliza kocha Mkuu Bakari Shime mipango yake juu ya hii mechi. Alisema kwamba...
Baada ya kutafakari sana nimeamua kuwashauri ndugu zangu wa msimbazi watembelee kijiji chenye mvuto wapekee, kijiji kilichotajwa mara nyingi zaidi mtandaoni kuliko kijiji chochote kile nchini...
Mpaka sasa mapumziko Arsenal 2 Everton 0 na Liverpool 1 Mid o.
wote wanaitafuta nafasi nne.
Matokeo ya mwisho yatatupa jawabu mwakani nani atacheza jummane na jumatano na yule wa Alhamisi.
Mimi si mfuatiliaji sana wa michezo ila hili la mechi ya simba na kagera kuleta hii sintofahamu linanishangaza sana kwasababu kila kinachofanyika uwanjani kinashuhudiwa na maelefu ya wapenzi wa...
Wanajamvi wasalaam:
Baada ya salamu,nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajangwani kuchukua tena kombe la ligi ya vodacom Tanzania kwa Mara ya tatu mfululizo..kongole kwenu...
Ila dukuduku langu...
Qatar imekamilisha ujenzi wa uwanja wa kwanza ukiwa na viyoyozi miaka mitano kabla ya kufanyika kwa Kombe la Dunia 2022.
Uwanja wa kimataifa wa Khalifa unauwezo wa kuchukua mashabiki 40,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.