ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,923
- 6,932
Bila shaka mmethibitisha nyie ni timu bora kusini mwa jangwa la sahara. Ni makosa madogo tu, yametugharimu.
Tumekuwa na wadosi njaa wanaojifanya wanapenda mochezo kumbe wachumia tumbo tu.
Mmoja anasema anaidai timu bil 4. Alizitoa lini na wapi, haijulikani.
Mwingine timu imepata udhamini wa bilion 5, yeye kwa mil 100 za mishahara tu eti deni limekuwa toka 100mil hadi 1.9bilioni. Zimefikaje huko? Haijulikani.
Tatizo kubwa wanapenda kufanikiwa kwa jasho la watu wengine. Hawataki kujifunza kwa Azam na bakheresa wake.
Pendekezo.
Kama kweli mnataka soka likue, wekezeni. Mtaji upo. Hela si mnazo? Chukua kambi yote ya serengeti, wasajili, waingize mfumo wa ligi, baada ya miaka minne watakuwa VPL wazisumbue yanga na simba.
Msichezee watani wa jadi buana. Waacheni waendelee na ndumba zao. Ili soka letu lipande, hizo timu sharti zife, ziibuke timu zenye umiliki binafsi, siyo hivyo vi matawi vya siasa.
Take it from me