kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Kitendo cha kumpiga kumbo refa hadi anaanguka chini ni kitendo kisichovumilika kabisa.Na mkiendekeza ujinga kama huu kwa vile ninyi ni wapenzi wa Yanga mtafanya soka lizidi kudidimia hapa nchini.Na yanga watakuwa wakisajili wacheza mieleka ili wazidi kuchukua ubingwa.Nalaani kwa nguvu zote kitendo hicho na nawaomba TFF wachukue hatua Kali za kinidhamu kwa wachezaji waliofanya kitendo hicho cha udhalilishaji.