Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

FYI-Zawadi ya mfungaji bora wa ligi ya EPL ,inayojulikana kama Premier League Golden Boot ,ambayo Harry Kane amechukua kwa mara ya pili mfulilizo ,mfungaji bora huwa anapewa kiasi cha £1,000 kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema utata kuhusu hatima yake katika klabu hiyo huenda ulichangia kushindwa kwa klabu hiyo kumaliza katika nafsi nne za kwanza katika Ligi Kuu ya England. Hata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF nina ombi mimi ni mtumishi wa serikali katika halmashauri moja ya Mkoa wa Mtwara, nimebahatika kumuona mtoto mmoja ambae uwezo wake kisoka (football) nadiriki kumfananisha na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapo patamu sana hebu angalia safari hii ya usanii wa bodi ya ligi na kamati ya sheria na hadhi ya wachezaji. 1:Simba SC yapeleka malalamiko kuwa Kagera Sugar imemchezesha Mohammed Fackh ambaye...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
STRAIKA aliyeifunga Simba mara nyingi kwenye rekodi za mashindano yote, John Bocco ‘Adebayor’ STRAIKA aliyeifunga Simba mara nyingi kwenye rekodi za mashindano yote, John Bocco ‘Adebayor’...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nimesikia hawa wazee wa Simba wameniudhi sana,na Mimi ni mpenzi wa Simba kindaki ndaki.Ninachukia sana jinsi wanavyomsema Dewji! Yaani hawa mizee inaudhi sana.Hii mizee inarudisha nyuma sana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ama kweli "uzoefu ni mwalimu mzuri" Ni uzoefu wa Mourinho ndo umetupeleka UEFA - 2017/2018, Glory Glory Glory Manchester united. Like kama tuko pamoja
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Nianze kwa kuwapongeza washindi wa ligi yetu ya mpira hapa Tanzania bara Dar Young Africans, pia pongezi ziende kwa vilabu vyote shiriki na shindani katika ligi hii. Siku ya jana tumeona zawadi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, pana michuano ya FIFA U20 inayofanyika huko Korea Kusini. Michuano hii ni mizuri mno ila ratiba yake inanichanganya kwani hata watangazaji wetu wa radio na TV wamejikita kwenye timu za EPL...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Binafsi nimefuatilia (ingawa sio kwa kina) soka la bongo na ligi yote inayoishia hivi karibuni (maana haijaisha kwa sisi wengine) napenda kutoa mapendekezo yafuatayo kwa TFF kama wanasikia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama mwanajangwani, ningependa kutoa shukrani na pongezi zangu binafsi kwa Mwenyekiti aliyefanikiwa kuiko mwenyekiti yeyote tuliyepaya kuwa naye Jangwani Bw Yusuph MANJI. Mnamo jana jioni Bw...
8 Reactions
46 Replies
5K Views
Manchester United aka Mashetani Wekundu ya Uingereza wakicheza nyumbani OT jana wameweka miadi na Ajax Amsterdam ya Uholanzi kwa fainali ya kombe la Europa. Man U ilitoa sare ya 1-1 na Celta Vigo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo Zacharia Hans Pope kasema malalamiko ya Simba yapo FIFA hivyo wao ndiyo watajua kama tunastahili point 3 na mabao 3 au lah kwani wasimamizi wa ligi walikwisha sema kuwa mchezaji wa Kagera...
7 Reactions
100 Replies
13K Views
WATCH LIVE MATCH | Ajax vs Manchester United (The UEFA Europa League) 24-05-2017 21:45 - 00:45 | FULL MATCH WHATCH FREE HERE WATCH LIVE MATCH | Ajax vs Manchester United (The UEFA Europa League)...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka tuliambiwa leo jumanne tutakuwa tushapta majibu ya rufaa.... Labda nimepitwa na hizo taarifa. Kuna yeyote kazidaka hizo taarifa?
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua app ya kuangalizia mpira kwe simu
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Salaam wanabodi, Ligi imemalizika weekend iliyopita na YANGA kukabidhiwa kombe lake. Wana simba wamefungwa Mawazo yao na kauli za Manara na aveva kuhusu kukata rufaa FIFA ili wasipate Muda wa...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
  • Closed
Kwa habari za chini ya Kapeti ambazo bado naendelea kuzihakiki zinasema kwamba hatimaye tayari FIFA wameshafanya maamuzi juu ya Rufaa ya Simba SC na kwamba kuna barua imeshatumwa tena kwa DHL...
13 Reactions
109 Replies
18K Views
Wiki hii nimegundua. Hakuna jambo rahisi kama kuwa kiongozi wa klabu ya Simba. Uwezo wako wa kucheza na akili ya mashabiki wa Simba unaweza kuwa kiongozi wao milele na milele. We kuwa muongo tu...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom