Mafanikio haya ya Serengeti Boys ni matunda ya Nape Nauye au Harrison Mwakyembe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,417
120,728
Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.

Nawasilisha.
 
Harrison Mwakyembe na Soccer wapi na wapi?

Btw, ni matunda ya kocha wao na captain uwanjani.
 
Mada za kipuuzi nilimwelewa sana Hon. Mkapa huu Uhuru tunaoutaka wa kujadili nani ni nani na kafanya nini ,...,...
 
Najua kama Serengeti Boys wana Kocha wao Bakari Shime a.k.a Mchawi Mweusi na Nahodha wao ila nimeuliza kati ya aliyekuwa Waziri Nauye na Waziri wa sasa Mwakyembe nani anastahili ' pongezi / kongole ' kwa mafanikio haya ya Timu yetu ya Taifa ya Vijana?

Kuna Timu yoyote ya Taifa inayoshiriki michuano yake bila ushirikiano mkubwa kutoka Serikalini? Na je hao akina Nauye na Mwakyembe hawakuwa au siyo wawakilishi kutoka Serikalini? Hii ID yako ni moja ya ID's ambazo huwa naziheshimu humu ila sijui leo ' imebakwa ' na Mtu mwingine au la!
 
Kwani mawaziri Ndio wanaocheza?
Mafanikio n kutokana na jitihada zao na waalimu wao,over.
 
Mada za kipuuzi nilimwelewa sana Hon. Mkapa huu Uhuru tunaoutaka wa kujadili nani ni nani na kafanya nini ,...,...

Sasa mada ya kipuuzi halafu tena umeifuata tukueleweje? Huna tofauti na Mwanamke ambaye nje au kwa Wenzake anatamba kabisa kuwa hampendi Mwanaume fulani ( let say GENTAMYCINE ) na kwamba kaachana nae lakini kila siku usiku tena kisirisiri anampelekea ' Mbunye ' yake huyo ( GENTAMYCINE ) na ' anaikanyaga ' au ' inakanyagwa ' vilivyo.
 
Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.

Nawasilisha.
Kati ya hawa hamna anayehusika, haya ni matunda na juhudi za ziada za jamal malinzi, ingawa tunamponda ila hapa tumpe hongera zake!
 
Mwakyembe hajashiriki lolote katika kuifanikishia Serngeti Boys. Mipango yote aliacha Nape kabla ya kuondoka.

Yote hayo ni matunda ya Nape, wachezaji pamoja na benchi zima la Ufundi.
 
Mafanikio ya hii timu ni Kim Poulsen,Malinzi aliingia kwa mbwembwe akamfukuza lakini baadae akamrudisha kuratibu na kupanga program ya vijana lakini sifa kubwa anapewa Bakari Shime.Hiki ndio kitu cha msingi amefanya Malinzi tangu aingie TFF
 
Mwakyembe hajashiriki lolote katika kuifanikishia Serngeti Boys. Mipango yote aliacha Nape kabla ya kuondoka.

Yote hayo ni matunda ya Nape, wachezaji pamoja na benchi zima la Ufundi.
Hukumsikia mwakyembe alivyokuwa anasema Serengeti boys mpk kombe la dunia?
 
Karibuni tu ' mtiririke ' na ' mserereke ' kwani kuna Mtu mmoja hapo juu ( kwa hao Watajwa ) tokea jana baada ya ' Ushindi ' ule wa Serengeti Boys kule Gabon namsikia sasa ' anatamba ' na ' kujifaragua ' kuwa ' mafanikio ' haya ni matunda yake.

Nawasilisha.

Kwani wewe mgeni kwa wanasiasa?
 
Back
Top Bottom