D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Wachezaji wa Simba wagoma kuvaa medali za ushindi wa pili Ligi Kuu Tanzania kwa madai kuwa bado rufaa yao ya Fifa haijatolewa majibu.
Una hakika?UFUNGAJI BORA: Simon Msuva ashinda tuzo ya ufungaji bora Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 14, akifuatiwa na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting aliyefunga mabao 13.