Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
Mimi si mfuatiliaji sana wa michezo ila hili la mechi ya simba na kagera kuleta hii sintofahamu linanishangaza sana kwasababu kila kinachofanyika uwanjani kinashuhudiwa na maelefu ya wapenzi wa soka pamoja na viongozi wa soka na pia picha za video zinachukuliwa na records za kila mchezo zinakuwa documented.
Kingine, vyombo vya habari kama magazeti, tv na redio navyo lazima viliripoti matukio muhimu yaliyojiri katika hiyo mechi.
Sasa katika hali kama hii,mtu anaweza kupindisha ukweli?
Na sheria za ligi pia sizinaeleweka?
Sasa huu utata unatoka wapi?
Mimi mbona sielewi?