Beso
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 216
- 59
Nikiwa mshabiki wa Klabu ya Simba nilikuwa na wazo la kuwepo kwa rangi mbadala katika mavazi na jezi za klabu yetu tofauti na rangi zetu za asili ambazo ni nyekundu(home) na njeupe (away).
Rangi mbadala inaweza kutumika kuzipa muonekano tofauti tofauti jezi zetu tofauti na option ya nyeupe na nyekundu!
Wazo la uchaguzi wa rangi mbadala kama hautaenda tofauti na jadi ya klabu yetu,nakaribisha maoni katika hili.