Serengeti Boys, kichwa cha mwendawazimu kilichopo Sober House kwa muda

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Serengeti Boys timu iliobebwa kwa mpondo kufikia mashindano ya U17 kama Yanga bado inawafurahisha wa Tanganyika kiasi cha kujisahau kuwa hao wanaowashangilia ni kichwa cha mwendawazimu, hakitabiriki. Inategemea mwezi kuwa mchanga ay mpevu.

Tarehe 20 Mei mwezi unaanza kuwa mpevu na Serengeti boys wataanza kuhemwaka.Watanganyika mjiandae na tenga la kuhifadhia magoli

Mimi simo. Michezo haimo kwente Muungano/ Mkichapwa magoli sumii wala mkishinda sifurahi
 
Majirani zetu tunaotenganishwa na Bahari ya Hindi kwa upande wa mashariki utawajua kwa viroho vyao tu!
 
kumbe akili zenu ndo zilivyo hvyo!!!!!!!!! basi muungano utadumu milele yote
 
Back
Top Bottom