TFF na Kamati ya ushindi Serengeti Boys tunaomba ripoti ya mapato na matumizi

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Kwanza poleni kwa kutolewa japo sijaumia. Tunaomba TFF mtupe mapato na matumizi ya michango mbalimbali ya wadau

1. Jumla tulikusanya kiasi gani?
2. Tumetumia kiasi gani?
3. Kimebaki kiasi gani? (Napendekeza Kilichobaki muwape watoto muwafute machozi)

NB: Watanzania kama umeshindwa kumsimamia mtoto kusoma na kumuandaa kusoma, kumnunulia peni siku ya mtihani ni kumkejeli tu. Serengeti Boys hatukuwaandaa na pia umri wao umeenda sana.

Hakuna Watanzania wa vile ambao ni under 17 kama hutaki chukua shule 10 angalia age ya wanafunzi wenye 15-17 halafu linganisha na wale.
 
Nakumbuka maneno ya job ndugai kwamba mpira umetushinda,sisi ni kichwa cha mwendawazimu mpira tunachezea sifa tu
 
Walipewa bilion moja wameila kabla mashindano hayajaisha
 
Back
Top Bottom