Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,727
Baada ya kutafakari sana nimeamua kuwashauri ndugu zangu wa msimbazi watembelee kijiji chenye mvuto wapekee, kijiji kilichotajwa mara nyingi zaidi mtandaoni kuliko kijiji chochote kile nchini, kijiji ambacho nadhani ukitembelea unapata zali la kukubalika katika mazingira yote kama.........!
Kazi kwenu msimbazi vinginevyo mtaishia mchangani tu.
Moderator tambua uhusiano uliopo kati ya Simba na Yanga kabla hujafanya chochote.
Dedication: FAFAFAAAAA
Kazi kwenu msimbazi vinginevyo mtaishia mchangani tu.
Moderator tambua uhusiano uliopo kati ya Simba na Yanga kabla hujafanya chochote.
Dedication: FAFAFAAAAA