mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 794
Ndugu wanabodi. I salute
Niende moja kwa moja kwenye hoja kubwa hapo juu...mimi ni mshabiki wa timu flan flan si yanga wala simba. Ninamapenzi na timu yetu ya TAIFA hata jana niliumia ana baaada ya kukosa kuingia level nyingine ya michuano.
Mimi ni mnazi mkuwbwa kabisa wa Timu hiyo ya Taifa na zinazohusu taifa lakini ni adui mkubwa wa Timu hasa za Yanga na Simba. Wakati mashabiki wanalingishiana na kuonyeshana kuwa nano zaidi naumia kwa sababu hoja huhamia kwenye timu hizi tu. Haiwezekani nchi kubwa hii watanzania wanashabikia timu mbili tu tena kwa kiwangi kikubwa kama cha Real Madrid vs Baselona. Manchester Utd vs Manchester City. Yanga na Simba haziwezi zikaiteka nchi yote.
Kinachonikera zaidi ni mpaka wana siasa utawakuta wanazifanya kama sehemu ya siasa. Wanapoziingiza bungeni ile ilikuwa kama sehemu ya nchi..Nataka nieleweke vizuri yanga na simba si sehemu ya nchi wapo wenye haki pia...hata serengeti wasingeibuka na kufika walipo fika kama wote tutaabudi simba na yanga.
Ushauri vijana wenzazngu tuachane na unazi uliopitiliza wa kibinafsi.
Pana wakati huwa natamani fifa izipige zishuke daraja..