Michezo ya Liverpool na Arsenal kama Fainali.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Mpaka sasa mapumziko Arsenal 2 Everton 0 na Liverpool 1 Mid o.

wote wanaitafuta nafasi nne.

Matokeo ya mwisho yatatupa jawabu mwakani nani atacheza jummane na jumatano na yule wa Alhamisi.
 
Arsenal haijawahi kushiriki Europa ligi na yy anatamani sense huko Mara moja Kwa lengo LA kwenda kuangalia ligi hiyo iko VP!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom