Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Jana nilishuhudia mchezo baina ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho kupitia luninga ya TBC kusema ukweli kiwango cha Tanzania Stars kilikuwa cha chini sana kulinganisha na timu pinzani. Jana hata timu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bosi wa benchi la ufundi la Simba, Mcameroon, Joseph Omog amevutiwa na kiwango cha mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Hafidhi Musa ambaye amejiunga nayo hivi karibuni akitokea Motema Pembe ya DR...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ? Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu. Hii nchi haijajipanga kisoka ...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Kwa kiwango kilicho onyeshwa jana na wachezaji wetu kina sikitisa sana yani wachezaji mumetumia kodi zetu kwenda kuweka kambi masir. Ya wiki njima mm kama mupenda soka nikafika uwanjani ili nione...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo ni siku ambayo nimemwona Samatta akiwa ametoka uwanjani kwa hasira kubwa baada ya mechi kati ya Taifa Stars na Lesotho. Pamoja na yeye kucheza vizuri na kujitoa kwa 100%, anahisi juhidi zake...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza wabunifu na wandaaji wa ndondo cup,hususani Ndugu Shafii Dauda. Mambo mnayoyafanya ni ukomavu mkubwa katika soka. Mnajitahidi sana kushirikisha wadau na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarii za wakati huu!!!!! Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana simba njooni hapa mnitoe dukuduku swala la FIFA vipi mbona kmya hakuna kiongozi wala afisa yoyote anaye ongelea hili swala tena! au kmya nalo ni jibu?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu hapo jana timu ya taifa, Taifa stars ilikwea pipa na kuelekea nchini Misri kwaajili ya maandalizi dhidi ya Letheto mechi itakayochezwa Jijin Dar es salaam kuwania kufuzu AFCON 2019...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Leo kuna mitanange mitamu sana 1.Croatia vs England 2.Botswana vs Mauritania 3.Norway vs cezch Republic 4.Azerbaijan vs Northern Ireland Karibu tuchambue michezo hiyo nani ataibuka mshindi.........
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuwapongeza tbc1 kwa kuonyesha game ya stsrz na Lethoto Live.. naona mmeanza kujitambua sasa kuwa nn mnatakiwa kufanya..
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi mechi ya tanzania vs lesto nisangap
0 Reactions
5 Replies
965 Views
Meya wa Jiji lla Madrid, Manuela Carmena baaada ya kukabidhiwa jezi ya Real Madrid na Nahodha wa Real Madrid. Sergio Ramos.
7 Reactions
31 Replies
6K Views
Harusi ya mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi sasa ni uhakika itakuwa Juni 30 na itafanyika kwao Rosario, Argentina yeye akifunga ndoa na mzazi mwenzake na mpenzi wake tokea wakiwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu, nimegundua kumbe upeo wetu ni mdogo mno. Pana fainali za FIFA U20 huko Korea Kusini, sawa na fainali za timu kubwa za mataifa, lakini hakuna hapa nchini anaefuatilia hasa media zetu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu! Kupitia kichwa cha habari mimi nakaa Mikocheni Regent kwa anayeweza kunielekeza namna yA kufika Chamazi Complex kuangalia mechi Kesho naomba anielekeze. Yaani usafiri na kama kuna...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Kamarada, Hivi hawa TFF wanatumia vigezo gani kuzuia AZAM FC kutotumia uwanja wake wa nyumbani pindi inapocheza mechi za ligi na SIMBA/YANGA, na kuruhusu TIMU YA TAIFA kutumia uwanja huo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
SPORTPESA SUPER CUP: Yanga SC acheni dharau.! Sijui niseme nini. Ila iko namna hii. Kwanini mmeshindwa kuyapa heshima mashindano ya SportPesa super cup? Mmeona wenzenu walivyokuwa wanajua...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wapendwa! Leo tunakamilisha msimu wa La Liga 2016/17. Tufanye Madrid bingwa wa La Liga na UEFA Champions League. FC. Barça bingwa wa Copa Del Rey. SWALI: Ni nani kati ya Messi na...
1 Reactions
47 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…