I cast my vote to this one....................
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha jamaa anaitwa Kauzu!!!!!!!!!!!!
Sababu: Avatar yake na ID yake 100% zinaendana. Amepatia choice ya Avatar
OMBEA MWANAO KABLA HUJAANZA KUMLALAMIKIA.
YANAKUJA AFRIKA KWA NGUVU USALAMA WETU UKO KWA MUNGU NA MAOMBI
> WENGI WANAYAKUMBATIA HASA VIJANA WA
> KIAFRIKA WAKIONA WATU KUTO ULAYA NA MERIKANI...
Hii kali ya wamakua wa kule Mtwara...
Bi harusi aliyeolewa na mmakua hivi karibuni akipita juu ya wakwe zake kama kapeti kwa mujibu wa mila na desturi za kabila hilo...
I have never missed Chuchu Sound any moment like this one.
Nakumbuka sana haya mambo
Bwan'Chuchu wakaa wapi.............Nakalia Kigogo kwa Nyuma
Bwan'chuchu taa........Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.