Huyu ni mlemavu au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ni mlemavu au?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Dec 20, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jamani huyu babu ni mlemavu wa mguu na hapo amepewa msaada na huyo binti(sijui ni binti yake!!) au?
  Na hiyo nyundo ni ya nini?
   

  Attached Files:

 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ndibalema,

  Huyo babu anaonyesha "umiliki" hapo amesimama halafu mguu unaziba naniiii na mkono unaziba manyonyo na nyundo aliyoshikilia ni silaha - Huyo inawezekana ni mke wake wa kumi!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pozi la ukweli hilo broda...
  Unauona wapi ulemavu hapo mkuu?...Mwache babu afaidi maisha bana, sikuchache zimembakia!
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Baba Eno bana! Umenichekesha mno.
   
 5. c

  chelenje JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Babu inaelekea anamiliki huo mzigo(binti) na mkono ananawa titiz na nyundo ni silaha. Kwa sisi wajenzi tumeona mbali zaidi, zile tofari za msingi naona zimesimamishwa badala ya kulazwa, naomba wahandisi mnisaidie ni sahihi?????
   
 6. semango

  semango JF-Expert Member

  #6
  Dec 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  babu analinda mali zake.duuh!ila ni fataki kuliko!!!
   
 7. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #7
  Dec 20, 2010
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi hamjui mambo ya 'babu na mjukuu' ? Wanataniana na kucheza wote.
   
 8. l

  liman Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ee bwana jioni ya leo cna mbavu ihi cjui ni wapi?vile sio kwa akina chacha ,wambura ,mangaana kweli iyo!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Pozi la picha huyu babu ezi zake sipati picha
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  babu2.JPG

  Mkuu, huyo binti kama ni mwanao, yuko na babu yake-tembeza bakora kwa babu haraka sana!, ameshamharibu binti hawezi hata kusimama wima!: TIGO imefutwa marinda!
   
 11. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  au babu kamshika mateka , anasema ' akisogea mtu hapa namuua..'
   
Loading...