Vituko vya wa sudan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya wa sudan

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtu wa Pwani, Dec 16, 2010.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,094
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  [​IMG] jamaa kaamua kujinyofoa kwenye umoja wa sudan

  73198_445967152990_574937990_5294319_3541732_n.jpg [​IMG]
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mbona kasahau damu yake inayomwagika kila kukicha?
   
 3. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 13,556
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  hii ndio nini?
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,494
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  mnamo januari 11 2011 wananchi wa sudan ya kusini watapiga kura (referendum) kuamua kama wajitenge na wenzao wa kaskazini au waendelee kuwa katika government of national unity (gonu)
   
 5. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,041
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  WaZeni nao wajitambalie tu kwenye muungano tubaki na Bongo yetu.....
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,345
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  akijinyofoa damu yake haitamwagika tena.
   
Loading...