Mapenzi ni kitu muhimu sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ni kitu muhimu sana.

Discussion in 'Jamii Photos' started by St. Paka Mweusi, Dec 18, 2010.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wacheki hawa.....
  [​IMG]

  Wengine hawa


  [​IMG]
   
 2. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Hawa nao.......
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nakusubiri!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Haya nimefika mama usintoe meno tu maana nimeogopa......
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wala usiogope baba!!! najua unafikisha ujumbe kwa hadhira.
   
 6. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Sijui mimi na wewe tutafananaje tu kwenye harusi yetu?
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwani umeshanichagua mimi, wale watatu umeshawatosa???
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Wale naona siwawezi bora nikuchague wewe au wewe unaonaje?
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  mmmmh nipe muda wa kufikiri, kuomba na kufanya maamuzi,
   
 10. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Haya mama chukua muda wowote unaoutaka na mimi inabidi niongeze muda wa nadhiri yangu huku,
  maana nilioteshwa kuwa wangu wa milele atatoka hapahapa JF.
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Eti eee, yani kesho nawahi misa ya asubuhi, afu katikati ya wiki nitaomba isomwe misa malumu kwa ajili yetu, ili tujue ni
  kweli wewe ni Mume mwema kwangu na mimi ni mke mwema kwako??
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Hii post imefanya siku ya leo kuwa njema kabisa,naomba usome vizuri hapo nilipoweka bold na hiyo ndio maana yake bila hata ya kuongeza wala kupunguza .
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tehe teheeee,
   
 14. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Na hapo ndio nilipozidi kukupenda,maana kikwetu wakati mnaongea mwenzio akicheka tu basi ujue ujumbe wako umekubaliwa kwa hiyo asante sana kwa kunikubalia ombi langu, tuanze maandalizi tu sasa au unasemaje.
   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hata kabla hatujaomba mmmmh, inabidi tuombe kwanza bwana,
  Mmmmh afu we paka mweusi, kwani we ni mweusi kama huyo paka.
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
 17. LD

  LD JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
   
 18. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
 19. LD

  LD JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
   
Loading...