Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Never came accross!...Ni nini hii?
Hilo tunda linaitwa Bibo PJ, na hiyo mbegu ndo korosho yenyewe baada ya kukaangwa na kubanguliwa. Mafuta ya korosho yalikuwa yanatumika kwa vijana enzi hizo kwa 'painful tattooing' na famous tattoos enzi hizo ni ya Bob Marley, Nanga, na n'ge.
I guess hii Mabibo ya sasa inatokana na hilo jina I guess enzi hizo kulikuwa na Mikorosho mingi sana
Never came accross!...Ni nini hii?
ha ha ha mweh kuna pombe ya kila kitu siku hizi
Umenikumbusha kwa bibi(RIP) Zilikuwa siku nzuri sana!Niongeze tu,
Sisi enzi zetu unakula bibo, unakaanga korosho.
Halafu, unachukua makorosho yaliyobaki kwenda kuchezea "kamari" kama vile gololi. Tulikuwa tunatumia mbegu kubwa kuyalenga , hiyo mbegu inaitwa kikwetu " Matandabala"
Ilikuwa funny kwa kweli
Thanks kwa kukumbusha hizo enzi!@!!!