Mgeni!

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,676
4,573
Vipi ukifungua mlango wa chumbani kwako kisha unamkuta huyu jamaa kajipumzisha
01%2BMeserani%2Bsnake%2Bpark%2BArusha.jpg
02%2BMeserani%2Bsnake%2Bpark%2BArusha.jpg
 
Mkuu samahani kwa hilo,halikuwa lengo langu,lengo langu ilikuwa ni kufahamishana tu mtu unatumia utaalamu gani kumfanya atoke humo chumbani bila kuumizana.Unaweza kuelewana na nyoka kweli na akatoka bila ya kuumizana?
 
aaah umenikumbusha meserani snake park kuna za kila aina.
 
Paka Mweusi acha kutisha watu washindwe kulala usiku sababu ya picha zako
 
mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:Cry::Cry::Cry::help::help::help::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::noidea::noidea::noidea::rip::angel::angel::angel::angel::angel::angel::angel::angel::angel::angel:
 
Unamkomesha kwa kumpiga moto baadaye utagundua na wewe umejikomesha kwa nyumba kuwaka, na matokeo ngoma droo.
 
dawa mrushie nyama iliyo kwenye fridge, wakati anaila we unasepa.lakini ukisema ukimbie bila plan atakukamata tu,anambio mara 3 yako.na akikukamata baada ya kukimbia atakumaliza kirahisi coz utakua tayari pumzi imekuishia
 
we paka mweui mwanga nini? jina lako na hili bandiko lako limekaa kishirikina shirikina tu!
 
Duh! Hawa jamaa (snake) ni hatari sana. Huyu hana sumu kali lakini hafai:target:
 
mwagie mafuta ya taa tu biashara inakuwa imekwisha

Hilo ndio jibu lake, na vilevile kama una pombe kali yeyote kama whysky au brandy ya aina yeyote ukiimwaga hata isipomfikia akiisikia tu harufu yake mbio zake ukichelewa hapo mlangoni atakupitia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom