Hivi hili dude ukipanda unajisikiaje?? wa ughaibuni mtujuze...

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
192
Nikipata katrip kakuja ughaibuni ntajaribu hili dude..sema sijui kama ni zuri kiafya??
wa ughaibuni mpooo?
 
Inabidi tumbo liwe fresh, la sivyo hucheleweli kuwatapikia wenzako, hehe
 
Sipati picha aisee...one Bongo yes.Sema viwanja vyote vya recreation wanauza...
 
Inabidi tumbo liwe fresh, la sivyo hucheleweli kuwatapikia wenzako, hehe

Umenikumbusha jamaa alilia kwa kiingereza:party: Sasa patapicha kulia kiingereza inakuaje halafu mkwere na kizungu wapi na wapi,, teh teh teh..
 
Umenikumbusha jamaa alilia kwa kiingereza:party: Sasa patapicha kulia kiingereza inakuaje halafu mkwere na kizungu wapi na wapi,, teh teh teh..

Inatakiwa raisi wetu akienda europe tena akajaribu kubembea na hilo..sio kubembea jamaica tuu. Halafu aone kama linafaa kuwekeza bongo..
 
Inatakiwa raisi wetu akienda europe tena akajaribu kubembea na hilo..sio kubembea jamaica tuu. Halafu aone kama linafaa kuwekeza bongo..

11_09_hmaerh.jpg
 
yaaa aalllahh!!!!!!!! jaman nimecheka hakuna siku nilicheka kama leo ama nyie basi tena,,,heee!!!!!!
Inatakiwa raisi wetu akienda europe tena akajaribu kubembea na hilo..sio kubembea jamaica tuu. Halafu aone kama linafaa kuwekeza bongo..
 
mm nilipanda nilijuta na niliona hii ndcio nnaiaga dunia

nilifumba macho na kusali hadi niliposhuka na nnadhani kwa duniani basi sipandi tena, maana inafanana kwa kudhani na safari ya kupanda mbinguni
 
Nikipata katrip kakuja ughaibuni ntajaribu hili dude..sema sijui kama ni zuri kiafya??
wa ughaibuni mpooo?
Ukilipnda hili Gurudumu utasikia Kizunguzungu kama hujalizoea na kama una Pressure usilijaribu unaweza ukazimia. Watu weupe michezo yao kusema ukweli inatisha sana sijuwi wanafikiria kitu gani hao Wazungu?
 
Mimi mdogo angu alipanda hili,kuja kurudi tz akawa anasumbuliwa sana na ini.sasa sijui lilikaa upande maana walisema halipo stable.
dont try this,mi nayaangaliaga kwa mbali
 
Nikipata katrip kakuja ughaibuni ntajaribu hili dude..sema sijui kama ni zuri kiafya??
wa ughaibuni mpooo?

sio kwenda ughaibuni tu hata Hapa kwetu Dar lipo, Nenda Mikwambe Kigamboni ukajaribu kuna kituo maalumu kwa ajili ya michezo hiyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom