NAITWA JACKSON MWANGILI, NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES ALAAM,NAUTAALAMUKIDOGO KUHUSIANA NA MAMBO YA GRAPHICS,NIMEAMUA KUONYESHA NAMNA PICHA FAKE YA OSAMA ILIVYO TENGENEZWA,HII TASAIDIA...
Wanajamvi wenzangu,
Naombeni msaada maana miwani yangu ya kusomea inaonekana lenzi kuisha nguvu. Nilikuwa najaribu kuangalia hii skafu aliyovaa Mh. Tibaijuka akiambatana na Makamu wa Rais nchini...
Hii inakuwaje nguo za msimu wa baridi kuvaliwa katika mazingiza ya joto (huyo Binti mwenye kutabasamu)hicho kivazi wazungu huvalia katika mazingira ya ubaridi na sio joto kama la hapa kwetu
Mmhhh unajua mtoto anaweza mambikiwa vitu feki labda kwa tamaa ya pesa lakini ukikuta familia ya vigogo kama rais anapigwa mchanga wa macho basi naomba msishangae kuona bilionea riz 1 nae kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.