Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Wanajamvi wenzangu,
Naombeni msaada maana miwani yangu ya kusomea inaonekana lenzi kuisha nguvu. Nilikuwa najaribu kuangalia hii skafu aliyovaa Mh. Tibaijuka akiambatana na Makamu wa Rais nchini Uturuki. Kwa macho yangu yakiwa hayana nguvu nilibaini kuwa hii skafu ni ya CCM lakini Mh. yuko Uturuki kwa kuwakilisha Taifa na si chama.
Au wadau mnasemaje? Jionee mwenyewe hata maneno yaliyoko kwenye skafu hiyo.