Kumbe Picha ya mwili wa Osama ni Fake!!!!!!!

Kumbe Picha ya mwili wa Osama ni Fake!!!!!!!

Nafikiri hizi picha zimeshapita hapa ...ziko kwenye thread fulani!! uchakachauji ulipatia jicho lakini si sura ..eh?

Serikali ya Obama bado haija-release picha zozote za Osama az yet!!
Hizo zinazozagaa ni kazi za mikono za Watu wengine!!!

Serikali ya Obama bado haija-release picha zozote za Osama az yet!!
Hizo zinazozagaa ni kazi za mikono za Watu wengine!!!

Mkuu Tumaini;

Naona wewe ni mdogo wangu..!! Baba yetu ni JIPYA!! Nimefurahi kukuona maeneo haya!!

s

Mkuu Tumaini;

Naona wewe ni mdogo wangu..!! Baba yetu ni JIPYA!! Nimefurahi kukuona maeneo haya!!

s

Ha ha ha ha ha ha,Haya Brother Azimio,naona Baba alikuwa ametingwa na dunia kiasi kwamba amekosa hata muda wa kutuunganisha watoto wake!!
Pamoja Saaaaaana!!

Hizi picha zimekuwa mtandaoni zinazunguka mwaka wa tano hivi sasa. Washasema kuwa picha za mwili wake hazitatolewa hadharani!

Technolojia haina adabu hata chembe! 2tadanganywa sana ktk karne hizi!

Back
Top Bottom