Kwa wanaopenda presha ya moyo....!!!

Xkalinga

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
476
316
Kama ni kupambwa,basi dunia imepambwa na maua ya kila aina!!!Nadhani mojawapoya maua ndio haya!!!
xd.jpg x.jpg vc.jpg
 
Ningekuwa kama hawa basi ningepata kila cheo na gari nalolitaka

Rizika na ulichojaaliwa, kama unataka kama hayo , hata ya kichina yapo yaongezee tu hlf njoo kwangu...! nina GX 100 Nitakupatia, ofisi utachagua unataka ipi? BOT, TRA au PCB?

NB: CHUNGA TAMAA MBAYA...............!
 
Hivi wamechorwa au ni wa ukweli?yaaani shati lote limelowana udenda wajameni mmmmmmmmh.
 
Yaani huo mzigo ukioa presha labda umiliki na bunduki,kama dadako presha,kama c wako presha ya udenda na uchu!aah mungu anafinyanga watu.unaweza kuhonga hata nafsi!mtuma thread ungetoa tahadhari,hii mambo c mchezo
 
Back
Top Bottom