utata mtupu

utata mtupu

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
412
Sijui kwanini aliamua kuvaa nguo ya mwanae..
 

Attachments

  • utata mtupu.jpg
    utata mtupu.jpg
    21.9 KB · Views: 1,133
mbona wanawake wanazalilishwa kihivi??? mbona hiyo ni kama public place??? au ni kwenye 'striptease dance?' imenichefua sana:evil::evil:
 
Sijui kwanini aliamua kuvaa nguo ya mwanae..

1. Aliona hasipitwe na mtindo wa pedo.

2. Mtoto wake alipokuwa akiiva ilikuwa ikimpendeza kwa sababu ni size yake, na yeye akadhani akivaa atapendeza kama mtoto wake.
 
Haa haaa yani great thinkers mmechekesha sana, wanawake siku hizi hawaishi vituko
 
Back
Top Bottom