Hii katuni imenivutia mno.

Hii katuni imenivutia mno.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,663
Katuni+Mach+16.jpg
 
Anayataka mwenyewe, kwanini asiondoke huko,
Kwani hao ndio Baba na mama
 
its real mchiz kadhalilishwa vibayaaaaaaaa na hap nimwanzoooo tu nasikia atafanyiwa vitimbwi mpaka aache ukipemba duuu sasa sijui kamatutfika...................................................
 
baba na mama wakigombana chukua jembe ukalime!!
 
huyu mtoto wa mkulima ni mnafki sijawahi ona anajipendekeza kwa wananchi hana lolote magufuli was right
 
JK+MPKP wanataka kuhalalisha majengo yao waiyoyajenga katika maeneo yasiyistahili.
 
Unaweza kuitafasiri kwa maana zaidi ya moja, 'unajitia kimbelembele, haya sasa tuone kama utatembea mbele ya umma'
 
Ukiona mtu mzima hajajichomoa pamoja na anavyotendwa na wakubwa zake ujue naye si msafi anaogopa watamchungulia.

kweli mkuu hapa umenena, Magufuli kasoma alama za nyakati na jibu lake ni kubakia huko huko kwenye uozo. Bali wenye akili wanajua kuwa alichofanya yalikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri ambalo raisi, pinda walishiriki (may be). Kuna haja ya kutafuta mashujaa wapya nje ya mfumo huu uliopo na hasa kutoka serikarini kama alivyosema Sofia Simba kuwa hakuna aliye msafi kati yao.
 
JK+ pinda wameanza kufaidi mafedha ya mafisadi wanaoinyemelea ikulu come 2015, wanaona bora wamuharibie.
 
huyu mtoto wa mkulima ni mnafki sijawahi ona anajipendekeza kwa wananchi hana lolote magufuli was right

Na hapo ndipo swala la maendeleo Tz linabaki kuwa la kisiasa,ubwege + unafiki ndo umewajaa hao wazee(JK & Pinda)!
 
JK+MPKP wanataka kuhalalisha majengo yao waiyoyajenga katika maeneo yasiyistahili.

Hayo majengo wanayoyatetea yatavunjwa time will tell ... .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom