Jinsi picha FAKE ilivyotengenezwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi picha FAKE ilivyotengenezwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Jidu, May 5, 2011.

 1. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  [​IMG]  NAITWA JACKSON MWANGILI, NI MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES ALAAM,NAUTAALAMUKIDOGO KUHUSIANA NA MAMBO YA GRAPHICS,NIMEAMUA KUONYESHA NAMNA PICHA FAKE YA OSAMA ILIVYO TENGENEZWA,HII TASAIDIA KUONDOA UTATA WA PICHA HIYO MIONGONI MWA VICHWA VYA WATU,AMBAO WANABISHANA UHALISI WA PICHA LE! HATUA HIZI NIMEZIWEKA WAZI NIKIJARIBU KUTENGENEZA PICHA HIYO FAKE WA HATUA ZANGU BINAFSI KWA KUTUMIA SOTWARE MAALUMU YA GRAPHICS KWA KUTUMIA VYANZO VYA PICHA MBILI HALISI NA KAMA UNAVYO ONA MATOKEO YAME KUWA KARIBU SAWASAWA!
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  You will never see Osama walking on this earth again_Baraka Obama
   
 3. crome20

  crome20 JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Wamarekani hawajatoa picha yoyote ya Osama. Wanaobishania jambo hili la picha hawana kazi ya kufanya.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Hebu tuoneshe na jinsi ya kutengeneza DNA feki.
   
 5. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu, umeonyeshwa matokeo?
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Haya we.....
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Ili iweje? waliokuwa wanamtafuta ni Wamarekani na sio mimi, sasa iweje vipimo vya DNA niletewe mimi? i mis some point here. ok by the way DNA imeonesha 99.9% ni ya Osama Bin Laden.
   
 8. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mwanafunzi wa chuo kikuu mwenye utaalamu kidogo wa mambo ya graphics!
  Vipi, you have nothing else to do instead? Why waste your time?
   
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Maybe. But they should show us why we should give them credit for that.
   
 10. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nani aliyedanganya? maana wamarekani hawajatoa picha mpaka sasa.
   
 11. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ama!! umesingiziwa mkuu
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Kwenye hilo eneo performance yangu ni kama ya MESI, haiwezekani kupigwa changa. nikikabidhiwa hilo jukumu huwa naconsider kama ajira.
   
 13. GABLLE

  GABLLE Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mhhh!!
   
 14. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hongera sana Mtoa maada, Umejitahidi sana kuwafahamisha walio wengi!

  Nilisema na ninasema tena Kifo cha Osama Ni Changa la Macho!

  Kubali au Kataa Sio ishu!
   
 15. JANGWANK

  JANGWANK Member

  #15
  May 9, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Technolojia watu wanaitumia vibaya! Kuna upotoshaji mkubwa!
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  asante kwa kutufungua macho
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Wamerekani na "technology" wanayojivunia hawana haya wala hawajuwi vibaya kumsaka mtu mmoja kwa miaka kumi na tano? Na matrilioni ya mapesa waliyotumia na kuua mamilioni ya watu wasio na hatia. Haa, halafu utakuta Binladen hahusiki na yote wanayomsingizia. Eti kwa sababu tu kakataa kuwa kibaraka wao.

  Jee, hatukumbuki uongo waliozuwa kwa Saddam, kupata sababu ya kumshambulia? Eti ana silaha za maangamizi? Hizo silaha kazificha wapi? Mbona hawajasema wala kuziona, umewashuka. Mahasidi wakubwa.

  Kazi kuuwa vitoto vidogo na wanawake, mwanamme wa kweli mmoja tu, kawahenyesha vya kutosha. Hawana haya kujisifu?
   
 18. N

  Nonda JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
 19. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa ninyi watu kwa nini mnumiza akili zenu kiasi hiki jamani!
  mnadhani kuna faida gani ambayo Obama anapata kama akisema kua wamemuua osama
  while sio kweli!!

  na kama DNA ya Osama ilikuepo be4 kuuawa kwake (kumbuka alikua mjeshi wa marekani) na test ya ile maiti iliyouawa ikamtch 99.9%
  mnataka marekani waseme ni nani sasa aliekufa??
   
Loading...