Jamani wafahamisheni Ndugu zenu

Jamani wafahamisheni Ndugu zenu

Spear

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
507
Reaction score
32
Hii inakuwaje nguo za msimu wa baridi kuvaliwa katika mazingiza ya joto (huyo Binti mwenye kutabasamu)hicho kivazi wazungu huvalia katika mazingira ya ubaridi na sio joto kama la hapa kwetu

k.jpg
 
we huoni kua ni masharobaro hao huvaa hata koti la leather humuhumu jijin bila hata aibu ya kuangaliwa kisa eti fashion
 
Back
Top Bottom