Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Wanajf naomba mnijuze, CCM kuwa chama dola maana yake ni nini? nataka kujua CCM ni sehemu ya dola au dola ni sehemu ya ccm.nini hasara na faida ya mfumo huu kwa taifa letu?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, leo naleta mada hii ili wajuvi wa mambo haya ya physics na sayansi zinazohusu silaha mnisaidie. Mtakubaliana namimi kwamba bunduki inapopiga risasi basi risasi hiyo hutoa...
5 Reactions
67 Replies
16K Views
Anayefahamu naomba anijuze ? Nasikia hawa watu wana akili sana na ndio maana Hitler aliwaua mamia kwa maelfu na vilevile nasikia kwamba nchi za kiarabu zimeshindwa kabisa kuifyeka hii Israel Ni...
7 Reactions
130 Replies
25K Views
Hakuna anayependa kusahihishwa, kugombana au kukemewa mbele za watu, hii ndiyo tabia ya watu wajeuri na walio na tabia za kitukutu. Mara nyingine hudhani wanapata sifa. Wako watu wa jinsi hii...
32 Reactions
68 Replies
108K Views
Wana jamvi Salaam Kila sehemu lazima kuwe na muongozo wa kufuata ili mambo yaende yanavyopaswa. Marais wa Marekani hata nchi nyingine wanapewa majina fumbo "code names" kutoka moja ya vitengo...
7 Reactions
102 Replies
12K Views
The Christian is called to love his/her neighbour. This love is to be expressed in a deep concern both for man's spiritual needs and also for material needs in everyday life. The difficulty lies...
1 Reactions
1 Replies
850 Views
Wadau nataka kujua vitu hivyo vinaweza kutumika kumfanya mtu akafanikiwa na ni namna gani mtu ambaye hajihusishi navyo anaweza kuzuia ili visimuharibie biashara zake.
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Napenda Niweke Vizuri Jambo hili ambalo wengi hawalielewi. kwa mujibu wa biblia ktk kitabu cha YEREMIA 32:27, Inasema Mungu Ni Mungu Wa Wote Wenye Mwili. Sasa tafsiri ya hapa ni kwamba Mungu...
5 Reactions
52 Replies
13K Views
Katika pitapita yangu mtandaoni nikakutana na kipisi hichi....ambacho kweli ukikisoma kina ukweli mwingi ndani yake na si Zambia peke yake bali Afrika nzima Tanzania ikiwemo. Nikaona nikelete hapa...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Mwaka 1798 kulitokea badiliko katika serikali iliyoungana na dini baada ya rais na kiongozi wa dini(PAPA) kukamatwa na kuuawa huko ufaransa. Baada ya kifo cha rais na kiongozi wa dini wa serikali...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Explanation of designations: F is for Fighter, designed for air interception and air superiority. A is for Attack, designed for air interdiction or air support Missions F-14 and F/A-18 are USN...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Kesi ya Yesu kuuawa ilivunja sheria zote. Kwa mfano ukisoma Biblia utashangaa Yesu alikamatwa usiku akisali kanisani kwake porini kwenye milima ya mizeituni akiomba na wanafunzi wake ambao kwa...
4 Reactions
48 Replies
6K Views
Nimekua nikijiuliza mara nyingi teknolojia inayotumika kutengeneza madaraja yanayopita katikati ya maji eitha kwenye mito mikubwa, ziwa au bararini mfano kigamboni n.k ila sijafanikiwa kupata...
3 Reactions
33 Replies
16K Views
Foiling assassins and breaking up bank scams is all in a day's work for Secret Service agents. But in recent years, the job has grown harder. Today, agents must also protect the President against...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Dunia haijawahi kuchoka kupokea elimu mpya kutoka katika hazina ya Fikra za wakazi wake. Yawezekana Ikawa kweli au mbinu za werevu wachache kutia hofu wakazi wa dunia lakini Gonjwa hili...
13 Reactions
100 Replies
27K Views
Picha nyingi ambazo zimepigwa angani na satellite, nyota huwa hazionekani, lakini kwa mujibu wa wataalamu wa maswala ya anga hudai kwamba hapa duniani tunaweza kuona nyota chache sana kutokana na...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Dear Dr. Magufuli The following is an extract of the threat letter that was received from Acacia Mining lawyers in London called Quinn Emanual. The Company is acutely aware of the importance of...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wana JF poleni na majukumu kila siku, ndiyo wajibu na na haki kwa kila mtu kufanya kazi. Ndugu zangu sote tumeumbwa na mwenyezi MUNGU lakini katika uwepo wake kwa binadamu, kwa upendo...
3 Reactions
47 Replies
12K Views
Habari za wasaaa. Asilimia zaidi ya 80% ya mazungumzo yetu hufanya kwa vitendo bila maneno, nikimaanisha mwili huongea zaid kuliko maneno tusemayo. Hili tendo huwa si la hiyari, kile...
23 Reactions
78 Replies
19K Views
Back
Top Bottom