Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,525
Wakuu habari zenu, leo naleta mada hii ili wajuvi wa mambo haya ya physics na sayansi zinazohusu silaha mnisaidie.
Mtakubaliana namimi kwamba bunduki inapopiga risasi basi risasi hiyo hutoa madhara kutegemeana na umbali wa kitu kilichopigwa na wakati mwingine kutegemeana na aina ya silaha iliyotumika(hasa Kariba ya mtutu).
Kwa mfano Submachine Gun (SMG) risasi yake huweza kuua mtu kwa usahihi endapo umbali wa mpigaji na target usizidi mita 100
Lakini pia kuanzia mita 1500 tunaambiwa risasi hiyo itaishia kujeruhi tu
Sasa hapa naomba nipate majibu kitaalam ni nini hasa kinatokea mpaka risasi ijeruhi tu? Yaani kama ni energy ya kuirusha inapungua naomba nipewe ufafanuzi mzuri hapa maana mpaka leo sijapata jibu kamili.
Nawasilisha