Je ni kweli Waisrael wamebarikiwa kuliko binadamu yeyote duniani?

Wana akili kwenye nini? Umetumia standard gani mpaka ukafikiria kwamba wana akili?

Mfano angalia hizi ni nchi 15 bora duniani kwa uvumbuzi wa vitu

The 15 most innovative countries in the world

Kati ya nchi hizo 15 israel haipo,

Mimi nimetumia standard yangu kwamba ili uonekane na akili inabidi uvumbue na israel hawamo kwenye wavumbuzi bora.

Ukija kwenye iq nchi zenye watu wenye uwezo mkubwa zaidi wa kufikiri baadhi ya research nilizoziona hata top 40 hawamo

https://iq-research.info/en/page/average-iq-by-country#
 
Wa Israel halisi hawapo pale Israel,wako kwenye mataifa wamesambaa wakifanya kazi.biblia inamaanisha watakua utumwani.na ni kweli wana akili nyingi sana.unaowaona sasa hivi pale Israel ni wazungu fulani tu wakorofi korofi hivi.Israel wenyewe halisi wako duniani pote hasa mataifa hayo hayo makubwa wanatumikishwa kufanya kazi za kitaalamu.na kadri miaka inavyoenda kuna siku watajikusanya wote na vizazi vyao na kurudi pale Israel,binafsi nachoamini hao watakapoamua kurudi na kujenga Israel halisi ndipo utakapoona hakuna cha mmarekani wala mrusi wala mchina atakaekua na nguvu kuliko wao
 
Kabla ya kusema chochote juu ya Israel naomba nikuulize maswali kidogo
1 Je inawezekana ndani au katikati ya Africa kukawa na nchi ya wazungu tupu? au katikati ya bara la Ulaya kukawa na nchi yenye watu weusi tupu?

2 Je katika jamii zote nne za binadamu ni jamii gani ina nywele za blonde

3 Je ina maana wakati waisrael wanakwenda au kusambaa dunia nzima ina maana waliondoka wote nchi nzima?

4 Kwa nini Waisrael waliotoka nchi za ulaya na America ndio wanakaribiswa ndani ya israel tofauti na waisrael waliobaki au kutoka sehemu nyingine mfano Africa wanabaguliwa?

5 Nitajie wanasanyansi 3 Duniani waliofanya maajabu kwa uwezo wao mkubwa wa akili na ufahamu ambao ni waisrael
 
Wana akili kwenye nini? Umetumia standard gani mpaka ukafikiria kwamba wana akili?

Mfano angalia hizi ni nchi 15 bora duniani kwa uvumbuzi wa vitu

The 15 most innovative countries in the world

Kati ya nchi hizo 15 israel haipo,

Mimi nimetumia standard yangu kwamba ili uonekane na akili inabidi uvumbue na israel hawamo kwenye wavumbuzi bora.

Ukija kwenye iq nchi zenye watu wenye uwezo mkubwa zaidi wa kufikiri baadhi ya research nilizoziona hata top 40 hawamo

https://iq-research.info/en/page/average-iq-by-country#
Lakini hao innovator wote..waisrael wako nyuma..list ya best scientist of all time ahalf ov them are pples ov israel..unakataa nn
 
Kabla ya kusema chochote juu ya Israel naomba nikuulize maswali kidogo
1 Je inawezekana ndani au katikati ya Africa kukawa na nchi ya wazungu tupu? au katikati ya bara la Ulaya kukawa na nchi yenye watu weusi tupu?

2 Je katika jamii zote nne za binadamu ni jamii gani ina nywele za blonde

3 Je ina maana wakati waisrael wanakwenda au kusambaa dunia nzima ina maana waliondoka wote nchi nzima?

4 Kwa nini Waisrael waliotoka nchi za ulaya na America ndio wanaribiswa ndani ya israel tofauti na waisrael waliobaki au kutoka sehemu nyingine mfano Africa wanabaguliwa?

5 Nitajie wanasanyansi 3 Duniani waliofanya maajabu kwa uwezo wao mkubwa wa akili na ufahamu ambao ni waisrael
Albert Einstein. ..mark zugerberg..kekule..and list goes by
 
Hawa wa mosad hawajabarikiwa?...kwanini?
Kwa taarifa yako hawa wa. Mosad ndiyo waoongoza kwa ushoga na kama wewe ni mkristo tambua kabisa kwamba asilimia kubwa ya hawa waisrael wa mosad sio wakristo bali ni Jewish.
Waisrael waliozungumziwa kwenye vitabu vya dini sio hawa wa Netanyahu.

The religious affiliation of the Israeli population as of 2011 was 75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% belonging to minor faiths such as Samaritanism, Baha'iism or no religion. Israel does not have a constitution
 
Albert Einstein. ..mark zugerberg..kekule..and list goes by
Hahahahhahahaha naona nguvu ya propaganda ya vyombo vya habari inafanya kazi yake owk unasema Albert Einstein. alikuwa ni Muisrael unaweza kunambia alikuwa ni.wa jamii gani kati ya jamii hizi za israel ?

Ashkenazi jews, Sephardi jews, Turkisa jews, Italian jews , Romaniotes, Gergian , Crimean karaites jews

Nijibu hilo then tutaelimishana vizuri
 
Kwa taarifa yako hawa wa. Mosad ndiyo waoongoza kwa ushoga na kama wewe ni mkristo tambua kabisa kwamba asilimia kubwa ya hawa waisrael wa mosad sio wakristo bali ni Jewish.
Waisrael waliozungumziwa kwenye vitabu vya dini sio hawa wa Netanyahu.

The religious affiliation of the Israeli population as of 2011 was 75.4% Jewish, 16.9% Muslim, 2.1% Christian, and 1.7% Druze, with the remaining 4.0% belonging to minor faiths such as Samaritanism, Baha'iism or no religion. Israel does not have a constitution
Kama wewe unaona ni propaganda. ..sasa mm nitakuamini vp kama nawe unachonambia sio propaganda. .lets assume everything we be told is propaganda then..
Hahahahhahahaha naona nguvu ya propaganda ya vyombo vya habari inafanya kazi yake owk unasema Albert Einstein. alikuwa ni Muisrael unaweza kunambia alikuwa ni.wa jamii gani kati ya jamii hizi za israel ?

Ashkenazi jews, Sephardi jews, Turkisa jews, Italian jews , Romaniotes, Gergian , Crimean karaites jews

Nijibu hilo then tutaelimishana vizuri
 
Lakini hao innovator wote..waisrael wako nyuma..list ya best scientist of all time ahalf ov them are pples ov israel..unakataa nn
Pengine hujaangalia hizo links, sio kosa lako. Ngoja nikusomee kidogo hio list

1. Kwenye iq kumetawaliwa na macho madogo kina japan, hongkong etc
2. Kwenye innovators pia kuna macho madogo wapo

Sasa hivi nchi kama south korea, china, japan wameitawala dunia ya electorics iwe ni mafridge, simu, laptops, server, etc

nchi kama marekani inaitegemea japan iwafulie nyuklia, wawatengenezee robot za viwanda etc.

Na nchi nyingi za ulaya mashariki mfano kama finland zina population ndogo sana ya majews lakini impact yao kwenye ulimwengu wa sasa ni kubwa sana.

Na hao scientist umewahesabu wako wangapi? Na wajews wangapi?
 
Wana akili kwenye nini? Umetumia standard gani mpaka ukafikiria kwamba wana akili?

Mfano angalia hizi ni nchi 15 bora duniani kwa uvumbuzi wa vitunilosikia mm nikwamba eti wao ndo wameijenga usa na ndio ameifanya usa kua sp

The 15 most innovative countries in the world

Kati ya nchi hizo 15 israel haipo,

Mimi nimetumia standard yangu kwamba ili uonekane na akili inabidi uvumbue na israel hawamo kwenye wavumbuzi bora.

Ukija kwenye iq nchi zenye watu wenye uwezo mkubwa zaidi wa kufikiri baadhi ya research nilizoziona hata top 40 hawamo

https://iq-research.info/en/page/average-iq-by-country#
 
Hata sisi waafrika tumebarikiwa na migegedo mikubwa na dada zetu makalio makubwa.

Ndukiiiii
Hata hii ni myth tu, unaijua research ya Iringa? Ile ya wazungu waliokuja kutahiri watu kumbe wanapima ukubwa wa mguu wa tatu?

Unaweza ukasoma zaidi hapa
Penile measurements in Tanzanian males: guiding circumcision device design and supply forecasting. - PubMed - NCBI

Hapo walipata average sentimita 11.5 ambayo ni kama nchi 4.5 na kuzidi kidogo.

Binadamu wengi duniani dushelele linarange inch 4.5 mpaka 5.5 hao wanaozidi ni wachache sana na wengi ikizidi hata kusimama vizuri inashindwa inakuwa imelegea.
 
Ni kweli hawa jamaa wamebarikiwa.

Utaona story ya Daudi na Goliath inavyojirudia pale middle east.
Mwaka 1967 Waisrael waliwapiga mataifa matano ya Kiarabu kwa siku sita. Siku ya saba wakapumzika, kama vile Mungu alivyoumba Mbingu na dunia sikU sits , na siku ya 7 akapumzika.

Walikua na jeshi dogo, silaha chache, ndege chache lakini walishusha kichapo kilichowaogopesha hadi Taifa la Kisovieti LA Urusi.

Haya hayawezi kutokea bila kua na Baraka za Mungu.

Yapo majaribio kadhaa ya kuwafuta katika Uso wa nchi yamefanywa na waarabu, wajerumani, yakashindwa vibaya sana.
Utaona kila taifa lililoiunga mkono Israel lilipiga hatua kubwa kinyume na Yale yaliopingana nayo hata Leo.

USA ilibarikiwa sana ilipoanza juhudi za kuwaunga mkono, hali yao ilizorota pale walipokua wakiwakandamiza kisera.
Urusi iliangushwa.
Waarabu mpaka Leo wameshindwa kuungana dhidi ya Israel.

Obama aliwapinga sana matokeo yake chama chake kikashindwa dhdi ya bwana Trump,

Nyerere alikataa kuwasaidia wasiokoe mateka wao Uganda lakini Kenya walikubali matokeo yake IDD Amin akavamia Tanzania.na so Kenya.

Kwa ufupi hata Leo wako watakaosema waisrael si lolote kwasababu ya uchache wao nk. Ila wakithubutu wanaangamia.

Israel ndio INA asili ya manabii, mitume watakatifu wanaosomwa zaidi duniani, akiwemo mkombozi Yesu Kristo.
Kupitia Israel mataifa yote yatabarikiwa.
So kwa ufupi IPO baraka katika Israel
 
Ni kweli hawa jamaa wamebarikiwa.

Utaona story ya Daudi na Goliath inavyojirudia pale middle east.
Mwaka 1967 Waisrael waliwapiga mataifa matano ya Kiarabu kwa siku sita. Sikh ya saba wakapimzika.
Walikua na jeshi dogo, silaha chache, ndege chache lakini walishusha kichapo kilichowaogopesha hadi Taiga la Kisovieti LA Urusi.
Haya hayawezi kutokea bila kua na Baraka za Mungu.
Yapo majaribio kadhaa ya kuwafuta katika Uso wa nchi yamefanywa na waarabu, wajerumani, yakashindwa vibaya sana.
Utaona kila taifa lililoiunga mkono Israel lilipiga hatua kubwa kinyume na Yale yaliopingana nayo hata Leo.

Obama aliwapinga matokeo yake chama chake kikashindwa, nyerere alikataa wasiokoe mateka Uganda lakini Kenya walikubali matokeo yake IDD Amin akavamia Tanzania.
So kwa ufupi IPO baraka katika Israel
Mataifa matano? Ujerumani kapiga dunia nzima tena sio mara moja mara mbili kwenye vita vyote vikuu vya dunia. Wanakuja kumshinda kwa kumuekea vikwazo kukosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu.

Leo hii dunia ikimchangia israel itakuwaje? Kama Iran tu pale inamuhenyesha?

Kama wao wana akili cyber war yao na iran kwanini waliingiza nguvu za bunduki? Iran walihack website zao kibao wao wakawa wanawaua kwa kuwatumia assasins, mtu mwenye akili akishindwa kitu cha akili anatumia mabavu?

Na mwisho wa siku mtu mwenye akili analiwa tigo? Iweje taifa hili lenye watu wenye akili kuna.mashoga wengi hivi.

Tel aviv ni jiji zuri kwa mashoga kuliko new york, london, toronto etc

Tel Aviv declared world's best gay travel destination
 
Back
Top Bottom