Why are so many scientists atheists/agnostics despite so many miracles in nature?

2013

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
11,360
6,066
Why are so many scientists atheists/agnostics despite so many miracles in nature?
 
Why are so many scientists atheists/agnostics despite so many miracles in nature?
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh aisee kaka
miracles ?
toa mifano labda sijakupata sawia.
mambo mengi yaliyo/yanayotukia yanaweza kuonekana ni ya kimaajabu, kutokana na kutokuielewa mechanism tendaji katika tukio/jambo husika.
mambo mengi yanayosemwa kuwa ni miracles yanaweza kuelezewa vizuri bila kupapasa japo ni ukweli usiopingwa kuwa sayansi yetu ya sasa haina uwezo wa kutupa majibu ya maswali yetu yote{ila inajitahidi}, lakini kutokana na mapungufu haya bado sioni sababu ya kupereka maswali yangu katika imani au dini kwakuwa sijawahi shuhudia dini ikitoa majibu ya maswali zaidi ya kutoa maelezo yanayojipinga na kujikinza kana kwamba yameachwa njiapanda yenye konakona zilizonyooka kwa level ya Abunuasi katika harakati za kuongeza ujinga kwa mgalme juha.
kwa upande wangu mm ratio kati ya sayansi na mambo ya imani ni kama 50,000,000/1, hivyo hata kama kitu hakina explanation ya kitaalamu ya kuridhisha kwa sasa huwa kwa hakika najua ipo siku tutapata maelezo ya kueleweka na si kumsingizia mzee wa siku mwenye mandevu na hekima yote na upendo wote ambaye yupo huko juu anatu-monitor tunavyopata taabu bila kutupa msaada viumbe wake.

MADE IN MBY CITY
 
Kuwepo kwa Miracle ndio kunafanya Mungu awepo?
Hivo ni vitu viwili tofaut, halafu watu wana amini sayansi zaid
 
mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh aisee kaka
miracles ?
toa mifano labda sijakupata sawia.
mambo mengi yaliyo/yanayotukia yanaweza kuonekana ni ya kimaajabu, kutokana na kutokuielewa mechanism tendaji katika tukio/jambo husika.
mambo mengi yanayosemwa kuwa ni miracles yanaweza kuelezewa vizuri bila kupapasa japo ni ukweli usiopingwa kuwa sayansi yetu ya sasa haina uwezo wa kutupa majibu ya maswali yetu yote{ila inajitahidi}, lakini kutokana na mapungufu haya bado sioni sababu ya kupereka maswali yangu katika imani au dini kwakuwa sijawahi shuhudia dini ikitoa majibu ya maswali zaidi ya kutoa maelezo yanayojipinga na kujikinza kana kwamba yameachwa njiapanda yenye konakona zilizonyooka kwa level ya Abunuasi katika harakati za kuongeza ujinga kwa mgalme ****.
kwa upande wangu mm ratio kati ya sayansi na mambo ya imani ni kama 50,000,000/1, hivyo hata kama kitu hakina explanation ya kitaalamu ya kuridhisha kwa sasa huwa kwa hakika najua ipo siku tutapata maelezo ya kueleweka na si kumsingizia mzee wa siku mwenye mandevu na hekima yote na upendo wote ambaye yupo huko juu anatu-monitor tunavyopata taabu bila kutupa msaada viumbe wake.

MADE IN MBY CITY
Majibu yenu ni ya kiimani vile vile, haiwezekani jambo hulielewi ila ukatae kuwa si la maajabu na ujenge hoja kuwa sayansi haijapata tu majibu ya kulielezea hilo jambo.

Kwa hoja kama hiyo unafikiri ni lini utakubali jambo la maajabu?
Hapo ni sawa na anayesema kuwa kuna Mungu japo haonekani ila anaamini ipo siku ataonekana na kuhumu watu kwenda peponi na motoni.
 
God does not exist and if we grant him 1% for his imaginary existence, then he exists in captivity.
 
Majibu yenu ni ya kiimani vile vile, haiwezekani jambo hulielewi ila ukatae kuwa si la maajabu na ujenge hoja kuwa sayansi haijapata tu majibu ya kulielezea hilo jambo.

Kwa hoja kama hiyo unafikiri ni lini utakubali jambo la maajabu?
Hapo ni sawa na anayesema kuwa kuna Mungu japo haonekani ila anaamini ipo siku ataonekana na kuhumu watu kwenda peponi na motoni.
Jambo linakuwa la ajabu likiwa linaenda kinyume na physical laws...
 
Toeni mifano sasa ya hayo maajabu

Mfano maajabu yapi?

Isije kuwa ukomo wa uelewa binafsi hasa mambo ya kisayansi, halafu unakuja hapa kutuaminisha kuwa ni miracles
 
Toeni mifano sasa ya hayo maajabu

Mfano maajabu yapi?

Isije kuwa ukomo wa uelewa binafsi hasa mambo ya kisayansi, halafu unakuja hapa kutuaminisha kuwa ni miracles
Miracle in ...."NATURE.."
 
Toeni mifano sasa ya hayo maajabu

Mfano maajabu yapi?

Isije kuwa ukomo wa uelewa binafsi hasa mambo ya kisayansi, halafu unakuja hapa kutuaminisha kuwa ni miracles
Mfano maisha yetu kwa ujumla kwa kutojua kesho, ndoto, usingizi, etc
 
Back
Top Bottom