Usiyoyajua kuhusu Ikulu ya Marekani (white house).

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
Kuna mambo mengi usiyoyajua kuhusu ikulu ya marekani ambayo pengine kwa msomaji anaweza kushangazwa akiyajua.Hivyo katika
kusherehekea Sikukuu ya Rais baadhi ya watu waliweza kutoa mambo 11 kuhusu ikulu ya Marekani ambayo ina jumla ya vyumba 132 na imejengwa katika eneo la ukubwa wa mita za mraba 17,000. Mambo hayo ni haya yafuatayo:

1.Awali ilijulikana tu kama jengo la West Wing ni ofisi za watendaji. West Wing ilijengwa na Rais Teddy
Roosevelt akiwa na lengo la kutenganisha makazi na sehemu za ofisi. Hata hivyo alipoingia madarakani Rais Taft akaamua kuunganisha jengo la ofisi la West Wing na majengo ya makazi akisema anataka kuhusika zaidi na shughuli zote za White House.

2.WEST WING
Ndani ya ikulu ya Marekani kuna
nyumba pacha ambapo inaelezwa kuwa James Hoban ni mbunifu na raia wa Ireland alichora kwa mfano wa jengo la Leinster la jijini Dublin huko Ireland. Awali jengo la Leinster lilikuwa makazi ya kiongozi wa Leinster na kwa sasa ni jengo la bunge la Ireland. Kwa maneno mengine White House ya Marekani inashabihiana na jengo la bunge la Ireland.
24a2d450e9a630d61ce3f315e0ce0251.jpg

3.Katika ikulu ya marekani hakuna kitu
kama chakula cha bure, hata kwa
Familia ya rais wa nchi hiyo.Mwishoni
mwa kila mwezi, Rais anapata bili yake binafsi ya kulipia chakula chake
na familia yake ikiwa ni pamoja na huduma zote zinazotolewa ndani kama kufanya usafi, dawa ya meno, na vifaa vya vyoo, ambayo hukatwa kutoka katika mshahara wake dola 400,000
kila mwaka.

5. Watu wengi wanajua kuhusu eneo la Bowling lakini kuna mambo mengine kadhaa ya kuvutia katika eneo la chini ya White House. Ukiachilia chumba cha ‘situation’ ambacho hutumiwa na rais wa Marekani pindi kunapotokea dharura ya kitaifa au kimataifa kuna vitu kama duka la maua, karakana ya mafundi seremala, na ofisi ya daktari wa meno kiasi kwamba rais hana sababu ya kutoka nje ya White House kwa shida yoyote ile. Kila kitu kimo ndani ya ikulu ya Marekani.
Ikulu ya marekani imekuwa ya kushangaza kwa kuwa moja ya taasisi maarufu duniani. White House kila wiki inapata hadi wageni 30,000 na barua 65,000. Aidha karibu simu 3,500 hupigwa, barua pepe 100,000, na faksi 1000 hupokelewa katika ikulu hiyo ya Marekani kwa wiki.
b9107bfb1d680d74b2438112d8cf6b84.jpg

6.Pamoja na ukweli kuwa Ikulu ya Marekani hairuhusu kuingilia faragha za Raisi pamoja na familia yake ambao hutumia simu maalumu bado huwezi kuweka hakikisho la mia kwa mia kuwa baadhi ya mazungumzo ndani ya ikulu ya Marekani huvuja.

7.Ikulu ya marekani ilijengwa kwa msaada wa watu wengi. wasanii wengi wa Ulaya na wafanyakazi wahamiaji ikiwa ni pamoja na waashi kutoka Scotland. Matofali na plasta ilifanywa na wafanyakazi kutoka Ireland na Italia. Katika hali ya kusikitisha historia za kumbukumbu za mishahara zinaonyesha wajenzi wengine walikuwa watumwa wamerekani wenye asili ya Afrika.

8.Jina la White House halikuwa likitumiwa hapo kabla hadi alipoingia madarakani rais Theodore Roosevelt ndipo ikulu hiyo ikapewa jina hilo. Awali ikulu hiyo ilijulikana kama kasri la watendaji.

9.Kama ilivyo kwa majengo yoyote makubwa duniani, mauzauza hayakosekani na miongoni mwa mauzauza hayo kubwa ni lile la rais Winston Churchill kukataa kulala tena katika master bedroom ya Lincoln baada ya mzimu wa Lincoln kumtokea rais Churchill ambapo alimwona ameketi kando ya tanuru chumbani alipotokeza kutoka kuoga.

10.White House daima imekuwa katika mabadiliko ambapo awali haikutarajiwa kuchaguliwa kwa rais mlemavu na ilipotokea ilibidi kurekebisha milango na kujengwa kwa lifti ili kumwezesha rais mlemavu kutembelea maeneo yote ya ikulu ikiwa ni pamoja na kujengwa kwa bwawa maalumu la matibabu kwa rais huyo mlemavu.

11.Katika ajabu la kumi na moja rais Clinton alifanya marekebisho ya ikulu ya aina yake. Yeye alijenga baseni la kuogea lenye maji moto lenye ukubwa wa kutosha watu saba. Pia kulikuwa na uwezekano wa watu wawili tu kutumia beseni hilo.

Mpalestina Mchizi
A Man From Mars
 
Uko sahihi
Pia usisahau kuwa whitehouse iliwahi kuchomwa moto na waingereza mwaka 1814 wakati wa vita na USA. Lakini mpaka mwaka 1817 ikawa imefanyiwa matengenezo

Na pia mwaka 1948-1952 ilijengwa upya kwa ndani kwani ilikuwa imechakaa sana na ndio muundo wake upo mpaka leo
 
Asante sana mkuu na ubarikiwe
 
Wewe ni Muongo sana. Winston Churchil alikuwa Rais wa nchi gani? Kwa nini wanakudanganya nawe unakuja kuwadanganya watu wenye akili zao?

Natamani kesho uje na kichwa cha mada kisemacho

USIYO YAJUA KUHISU IKULU YA TANGANYIKA(now tz bara)

Uzungumzie vitu kama
Aliye chora ramani
Kuna matengenezo yoyote/maboresho yamewahi kufanyika?
Ni kweli kuna barabara za siri za kutokea baharini?
N.k n.k
 
Uko sahihi
Pia usisahau kuwa whitehouse iliwahi kuchomwa moto na waingereza mwaka 1814 wakati wa vita na USA. Lakini mpaka mwaka 1817 ikawa imefanyiwa matengenezo

Na pia mwaka 1948-1952 ilijengwa upya kwa ndani kwani ilikuwa imechakaa sana na ndio muundo wake upo mpaka leo
huwa nakukubali sana khs hayo mambo ya USA tangu ile ulipofafanua kwa ufasaha khs uchaguz,ingawa pia huwa nakuona ktk udakuz
 
Back
Top Bottom