Yajue majinafumbo ya Marais wa Marekani wanayopewa na Secret service

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamvi

Salaam

Kila sehemu lazima kuwe na muongozo wa kufuata ili mambo yaende yanavyopaswa.
Marais wa Marekani hata nchi nyingine wanapewa majina fumbo "code names" kutoka moja ya vitengo vya taasisi ya ulinzi wa viongozi haswa Marekani yaani kitengo ndani ya Secret Services, viongozi wa taasisi hiyo nyeti mno duniani huketi na kwa kuwa walimjua tangu mwanzo kiongozi ajae humchambua zaidi na kutoa jinafumbo kwaajili yake ili kurahisisha mawasiliano katika utendaji na matukio muhimu ya kitaifa, vilevile katika safari zake, majina hayo hutolewa kufuata Muonekano, tabia, ushawishi, matukio na maongezi yake hata misimamo ya kiongozi huyo vilevile kiongozi huyo na familia yake wanaweza kuchagua kutoka katika mfumo wa mawasiliano wa ikulu kwa kuchagua maneno kadhaa pendekezwa yatumike, hivyo kitengo kimoja wapo katika Secret service kilitoa majina yafuatayo kwa viongozi hawa hapa:-

Gerald Ford, huyu alikua Rais wa 38 wa Marekani kati ya mwaka 1974 hadi 1977. alipoingia madarakani alikuta kuna wimbi la kashfa ya Watergate lillilomuandama mtangulizi wake yaani Richard Nixon, Ford alitamka hana mpango wa kumfungulia wala kuendelea na mashtaka juu ya mtangulizi wake ndipo alipoweka passkey ya zuio hilo, kutokana na hali hiyo kitengo ndani ya Secret service wakampa jina la fumbo Passkey

Bill Clinton, Rais mstaarabu na mtulivu sana yeye aliwapenda sana scout boys na kazi zao haswa jinsi wanavyojiongoza yaani mpiganaji mwenye nguvu na maamuzi sahihi alijulikana kama Eagle hivyo kitengo kilichopo ndani ya secret service kilitoa jinafumbo kuwa Eagle ndilo walilotumia katika mawasiliano katika matukio kadhaa.

Baraka Obama, kitengo ndani ya secret service kiliacha Rais Obama achague katika herufi anazopenda na kufikia herufi R Rais Obama akachagua jina la Renegade, Michelle Obama Mke wake alipewa jina la Renaissance kwasababu ya matumaini aliyonayo katika kusaidia jamii

Donald John Trump, huyu ni Rais wa 45 wa Marekani na ndio yupo madarakani, kutokana na haiba na tabia zake za kijasiriamali na biashara zaidi na kupenda kukuza vitega uchumi, na jinsi anavyoongea, hivyo kitengo kilichopo ndani ya secret service walimpa jina la Mogul kama jina fumbo na ndilo wanalomuita katika kazi zao,Melania Trump is alipewa jina la“Muse, kwasababu ya kumfikirisha Trump kibiashara zaidi.
 
Katika Presidential Protective Division ya Secret Service codes names haipo katika protection codes so kwa maana nyingine codenames au majina ya utambuzi hayapo ktk kipengele cha ulinzi wa Rais ila yanatumiwa kama majina ya utambuzi ktk mawasiliano kwa magent wa SS

Mara nying hizo code names hutumika kwenye National Special Security Event (NSSE) na ni familia nzima ya kiongozi wanakuwa na hzo code names ambayo uchagua kutoka kwenye White House Communications Agency.ambao wanakuwa na majina pendekezwa na muhusika uchagua jina lake

Na siyo tu Rais ndo anayo hyo codenames mtu yeyote au mgeni yeyote anayekwenda White house lazima anapewa codename kama jina la utambulisho kwa maagent wa SS hasa kikosi cha U . S. Secret Service ’s counter assault team (CAT) a.k.a Secret Service’s baddest bad boys kikosi chenye jukumu la kumlinda rais na wageni wa rais

So codename ni kama vile ilivyo watu wengi wanajua Air Force one ni ndege kumbe ndege ni Boeing 747-200B ambazo dunian zipo nying tu lakini Air force one ni Air traffic control call sign

So kitendo cha rais wa US kuwa ndani ndege yeyote inaweza kupata call sigh ya airforce one hata kama ikitokea siku Rais wa US akapanda Bomberdia ya JPM itabadilika call sigh na kuwa Airforce one
 
safi sana mkuu hapo upo sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom