Wakuu,
Nina kahoja hapa, ni hivi kuna tetesi kuwa kuna kiumbe hapa duniani ambacho kinaishi milele pasipo kufa.
Je, ni kiumbe gani hicho?
Mnaokijua tuambieni
Ramani ya Guantánamo Bay
Wafungwa walipofika mwaka 2002
Guantanamo Bay au Hori ya Guantanamo (kwa Kihispania Bahía de Guantánamo) ni hori ya Bahari ya Karibi inayoingia kusini mwa kisiwa cha Kuba...
Ubinafsi wa kiakili ni ile hali ya kuamini fikra zako tu binafsi.Tunapofikri kwa mtindo huu,hatutaweza kufahamu mawazo,hisia na mihemko ya wengine.
Huu ni mtazamo wa kiasili ambapo tunaguswa...
Wakuu Jeshi ni Moja ya kitu muhimu sana kwa ustawihi wa Taifa lolote ulimwenguni tumekuwa tukishuhudia Budgets kubwa kabisa mataifa mbalimbali zikielekezwa katika majeshi, Ili uwe safe na jeshi...
Why Does the Bible Speak Against Braided Hair?
The Christian Post
March 30, 2017 7:26 pm
There are some Christian sects that interpret the Bible literally to the point of imposing certain...
Ni dhahiri makonda alienda kuvamia clouds akiwa na jeshi la wananchi na Polisi. Makonda sio commander wa jeshi la wananchi wala la polisi. Je, iwapo walinzi wa clouds wangerusha risasi kwa...
Nmekuwa nikijiuliza hili swali muda mrefu. Ukiacha kuwa dhahabu inatumika kutengenezea mapambo au kuonesha utajiri nini kingine kinachoipa dhahabu uthaman?
Wazo nililo nalo ni kuwa uthaman wa...
Hivi karibuni tumeshuhudia kuwepo kwa sintofahamu baina ya mataifa matatu ambayo ni China, Korea kusini na Marekani kufuatia kile kinachodaiwa na Uchina kwamba ni mpango wa Marekani kutishia...
Nimekuwa Nikisoma Na Kufuatilia Hii Mada Kwa Mwaka Sasa. AfroAmericans Wanasema Wao Pamoja Na Bantus From Ashanti,Nigeria,Ghana,Congo Angola,Cameroon Pia Blacks From Carribeans,Ethiopeans Ndio...
Hii dhana ya kuwa Binadam walitokana na nyani inawezekana kwa Waafrika ikawa ina ukwel flan. Ukikaa kwa makini ukatafakari mambo yanayoendelea katika nchi za kiafrika. Na yanayotendwa na waafrika...
Soma Hapa
Kalenda tunayo tumia leo imetokana na kalenda ya Juliani ya kirumi. Hapo zamani kalenda hii ilikuwa na miezi kumi tu katika mwaka. Ndio maana Desemba tafsiri yake kwa lugha ni mwezi wa...
Kama mtu mwenye uelewa kiasi kuhusu utendaji kazi wa Idara yetu ya Usalama wa Taifa, nimekuwa 'nikipiga kelele' mara kwa mara kuhusu haja ya mageuzi ndani ya taasisi hiyo nyeti. Kwa bahati mbaya...
Hakuna anependa uchafu awe masikini au tajiri, ila kukosekana kwa mpango maalumu kwenye eneo husika mara nyingi huwa ni chanzo cha uchafu maana kila mmoja anategemea mwenzake afanye na hivyo...
Sehemu nyingi duniani tunatumia kalenda ya kirumi au gregarian calender, kwa heshima aliyopewa pope gregory kwa mchango wake katika kalenda hii.
ilikuwa ni mwaka 1582,ambapo watu walilala...
Siku ya jumanne wiki hii, mtandao wa WikiLeaks ulitoa taarifa za siri zipatazo 8761 ambazo zinaeleza kuhusu shughuli za ujasusi zinazofanywa na shirika la ujasusi la Marekani la CIA kwa kutumia...
Unakuta mtu anazaliwa akiwa na ulemavu wa viungo,ama hana kiungo kimojawapo,ama mtu ana jinsia mbili nk.Je nani anahusika na jambo hili?Kama binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu,je ni sehemu gani...
Katika Dunia tuishiyo sasa binadamu hatuko peke yetu, lakini tumejijengea dhana kuwatunaishi peke yetu huku tukisahau kuwa Mungu kaumba viumbe kadha wa kadha vinavyoonekana na visivyoonekana...
Kuna mambo mengi usiyoyajua kuhusu ikulu ya marekani ambayo pengine kwa msomaji anaweza kushangazwa akiyajua.Hivyo katika
kusherehekea Sikukuu ya Rais baadhi ya watu waliweza kutoa mambo 11 kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.