Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
na Edson Kamukara | Tanzania Daima | Oktoba 09, 2012 SIKU chache baada ya Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, kuahidi kuwavalia njuga baadhi ya wafanyakazi wa kigeni wanaoishi...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna vitu vinanitatiza sana sijui ni sababu ya kutaka kujua kila kitu Mimi sio mtaalam wa Geography japo wakati nipo sekondari tu kwa nadharia na kuna concept inasema dunia huwa inazunguka au...
1 Reactions
135 Replies
53K Views
UBONGO WA MWANAMKE.... Ubongo wa mwanamke ni mdogo kwa 8% kuliko wa mwanaume, lakini unamuungano wa mawasiliano (interconnections) nzuri sana kuliko wa mwanaume, na ndio mana mwanamke anaweza...
22 Reactions
78 Replies
16K Views
Pretty smart cookie... Just a test
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Ni kanuni ya maisha hii inajulikana kama "the all or nothing principle". Kanuni hii ni maarufu sana shule za secondary kwenye somo la baiolojia kwenye topic ya mfumo wa fahamu[the nervous system]...
1 Reactions
0 Replies
869 Views
wakubwa. amani iwe kwenu. ninaomba tueleweshane kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili: Obama Care ni nini? naaa... kwa nini Rais Donald Trump anaifuta? naomba kuwasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rekodi ya Dunia ya watu wanaoaminika kuwa na akili nyingi zaidi (IQ) ni Wanasayansi na wachezaji Chess lakini pia unaweza ukawa umewahi kujiuliza ni kiongozi gani mwenye akili zaidi Duniani...
13 Reactions
197 Replies
28K Views
"if i have seen further than others it is by standing on the shoulders of GIANTS" Pandahill sec (2012) nikiwa a-level, kulikuwa na maada inayo mhusu SIR Isaac Newton. Kila mwanafunzi alikua na...
2 Reactions
26 Replies
10K Views
Hii imekuwa ni moja kati ya dhana ambayo sijaielewa vizuri,iko hivi imekuwa ikisemekana kwamba mtu akiweza kusafiri kama speed ya mwanga unavyosafiri basi ataweza kudhoofisha/kusimamisha umri...
3 Reactions
68 Replies
10K Views
......
7 Reactions
81 Replies
29K Views
a
1 Reactions
1 Replies
1K Views
hili swali limekuwa kichwani mwangu sana. kwa nini msema ukweli si mpenzi wa wanadamu ?. labda vitu tuangalie kwenye mapitio mfano: yesu kuwekwa msalabani,s.w.a muhamad kukimbia madina...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Isaac Newton, yes, the one who wrote the Principia. It may come as a surprise to learn that after making his scientific discoveries, Newton ended up in charge of producing...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Satelaiti ndogo za upelelezi Mwaka 1988, Israel ilirusha satelaiti yake ya kwanza ya upepelezi angani, na kuingia katika kundi la mataifa nane yenye uwezo wa kurusha satelaiti angani. Hadi sasa...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Kesi ya O.J Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu yale yanayotokea nchi za wenzetu hasa Marekani na Visa na Mikasa ya matajiri. watu maarufu na waafrika hii ni moja ya kesi ambayo miaka...
20 Reactions
25 Replies
10K Views
Wanasayansi wa anga kila uchao wanafanya tafiti kujua kama kuna maisha ya viumbe hai nje ya sayari ya dunia. Vitabu vitakatifu vinatuambia kua binadamu ni viumbe pekee spesho katika macho ya...
3 Reactions
131 Replies
13K Views
Nimesoma kwa juu habari ya hawa viumbe kwenye Ukurasa wa habari wa BBC SWAHILI (FACEBOOK) ila nimetaka kukua kwa undani viumbe hawa ambao inasemekana walikuwepo miaka takribani milioni 200...
3 Reactions
74 Replies
13K Views
January 28, 2017 Comando from Tanzania episode three https://aloycenyakunga.blogspot.com The Tanzania Peoples’ Defence Force was created in September 1964. From its inception, it was ingrained in...
4 Reactions
102 Replies
20K Views
Habari ya hapo ulipo,natumai umzima wa afya. Teknolojia ni tawi moja katika matawi ya sayansi linalohusiana na elimu ya ufundi kwa maana ya kuvumbua kitu kipya ili kurahisisha maisha ya wanadamu...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Radar na satelite zinafanyaje kazi zake? Tumezisikia zikitumika kwenye vita na mfumo mziwa wa habari. Kazi yake hasa kubwa ya satelite ni kufanya mawasiliano na kupiga picha sehemu mbalimbali za...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Back
Top Bottom