Ni dhahiri makonda alienda kuvamia clouds akiwa na jeshi la wananchi na Polisi. Makonda sio commander wa jeshi la wananchi wala la polisi. Je, iwapo walinzi wa clouds wangerusha risasi kwa wanajeshi na polisi, je makonda alikuwa na amri au mamlaka kisheria ya kutoa amri ya kupiga risasi ( open fire). Kama jibu ni hapana, Kuna umuhimu huyu makonda akashtakiwa kwa makosa ya ugaidi, ujambazi, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola ikiwemo polisi na jwtz.