Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Dont we love 'research'? Nursing not behind saggy breasts :) Pregnancy may make breasts sag, but nursing does not make it worse Contrary to popular belief, breastfeeding does not...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
The key to the problem is CALORIES-too many of them.Overweght happens when you eat more calories than your body can use.Whether calories com from fat,protein,sugar or starch,the leftovers are...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuwauliza wale wenye utaalamu wa afya na wanabodi kwa ujumla hivi sasa wakulima wa mbogamboga wanatumia dawa ya ngao kupulizia kwenye mbogamboga kuwaua wadudu waharibifu hiyo dawa haiwezi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
...Hakuna utamu maskioni kama siku ya siku mbele ya kaasisi, shekhe, au msajili bomani unapotamka/tamkiwa maneno haya;... "I take you, _____, to be my husband/wife from this day forward...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Habari za kuaminika toka kwa jamaa yangu ambaye ni polisi -FFU pale morogoro amesema kuna vurugu kubwa sana zinaendelea, wazazi wamevamia mashule wanapiga wafanyakazi wa afya, na wamemwaga dawa za...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
BRAIN DAMAGING HABITS: 1. No Breakfast People who do not take breakfast are going to Have a lower blood sugar level. This leads to an insufficient supply of nutrients to the brain causing brain...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
eti jino likilegea kiasi, kwa ajili ya ajali, ni lazima litoke au litabana lenyewe?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Waislamu wapinga upimaji ukimwi kabla ya ndoa Shabani Matutu Tanzania Daima~Sauti ya Watu UKIMWI ni miongoni mwa maradhi yanayowasumbua wataalamu duniani kote, unawaumiza vichwa kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Halooo, nadhani humu kuna madaktari wengi wazuri. kuna rafiki yangu mmoja, nilimshauri aende hospital, kwasababu anasema, analo tatizo, anaona vitu kama vinatembeatembea mwilini mwake...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Brain Aneurysm What is a brain aneurysm? A brain (cerebral) aneurysm is a bulging, weak area in the wall of an artery that supplies blood to the brain. In most cases, a brain aneurysm causes...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kuwasilisha. Wengi tunahesabu umri wetu kwa miaka, lakini nilipata fursa ya kumsikiliza Dr mmoja akanishawishi nikubaliane naye. Haijalishi una miaka mingapi tangu uzaliwe, ila kama una...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi ni kweli kuna watu wanazaliwa Gays/Lesbians? ama ni tabia tu kama tabia nyingine kama Uasherati, Uzinzi, Ukahaba, au ulevi, tabia ambazo mtu anajifunzia ukubwani kutokana na msukumo wa maisha...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimesoma mahali, je ni kweli wabongo tunatuka midomo, najua thread hii haitawapendeza baadhi.
0 Reactions
27 Replies
11K Views
Nimesoma post ya mwenzetu mwenye tatizo la kukawia kutoa mbegu za kiume wakati wa tendo la ndoa hadi kufikia dakika 50 kwa round moja.Wengi wamemshauri vizuri sana na hasa ushauri wa bibi kizee...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
http://gmy.news.yahoo.com/v/8956904
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heroin, ambayo pia inajulikana pia kwa majina ya Brown, Smack and Skag kwa UK, ni dawa ambayo hutengenezwa kutoka kwenye mmea uitwao opium poppy. Hutumika kama kama dawa ya maumivu. Mitaani huuzwa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
"Health and Beauty" Dear Friends, We all know the importance of having good health and beauty. One needs to be aware of what is happening to his/her body everyday. At the age 18 - 23 most...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Climate change: Warming may cause increase in kidney stone cases, say US scientists Elana Schor in Washington guardian.co.uk, Tuesday July 15, 2008 Endangered species. Economic decay. Extreme...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JF Doctor, Naomba msaada wako...! I have my ndugu ambaye girlfriend wake alimkataa kwa sababu eti "jogoo haliwiki vizuri" na hata likiwika basi ni dakika moja au mbili limelala. (erectile...
0 Reactions
40 Replies
16K Views
--WanaJF, naomba kujua undani wa huu ugonjwa wa kucheka... --unasababishwa na nini? --unatibiwa vipi? --kwanini mara nyingi unazikumba shule za boarding za wasichana? Ahsante. SteveD.
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Back
Top Bottom