kusema peke yako

Kipi kinamfanya mtu aseme peke yake? je kuna tiba?

Sijui ni kitu gani kinachosababisha hii kitu, maana hata barabarani utawaona watu wakiongea pekee yao na wengi wao hawana matatizo yoyote yale ya kiakili. Kama alivyokwambia Kisura don't fix it, if it is not broken.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom