WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Wana JF,
Ninaomba kama kuna mtu yeyote mweye taarifa au habari zinazohusu ugonjwa uitwao PITYRIASIS ROSEA - Kufuatana na maandiko mbalimbali huu ugonjwa hauna dawa na unaisha wenyewe.Lakini kuna watu wamejitibu kwa home remedies na wakapona.Nitashukuru kama mnaweza kunihabarisha zaidi kwa wale wenye uzoefu/uelewa.
Asanteni.