MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Toka mabasi ya mwendo kasi wameanza kutoa Huduma mwaka 2016 mwezi April kituo cha Kimara Baruti hakikuwa na Huduma baada ya kugongwa na bus.
Mwezi wa 9 mwaka 2016 ndiyo wakaanza kushusha abiria tu hakuna kupakia baada ya ujenzi kukamilika lakini bila kuwa na machine za Ku scan tiketi
Na mpaka Leo hii mwaka 2017 March bado Huduma ya kushusha tu ndiyo ipo.
Je machine za kuscan zitawekwa lini ili abiria wapande hapo kuliko adha ya sasa kwenda kupandia kituo cha Kona au Bucha?