Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,263
- 1,397
Nimasikitiko makubwa kuona trafic wale wanapokea rushwa wazwaz nilikua nikihadithiwa ila leo nimethibitsha kwa macho yangu japo sikuchukua picha. Trafic alisimamisha gari konda akamwambia dereva muda wao huo konda akampa dereva 5000 na dereva akampa yule askari bila maelezo akaondoka je ajali au uvinjifu wa sheria za barabarani vitaisha?