Visa free countries

Ndata

JF-Expert Member
Mar 2, 2017
226
326
Habari wanajamvi, nataka kufahamu hizi nchi za visa free utaratibu Wa kwenda upo vipi? Na nchi za visa on arrival utaratibu wake upoje? Asanteni sana
 
Google zipo nyingi kwa Africa bila kusahau msumbiji na malawi almost zote kutoa chache tu like Egypt, ivory coast, south Africa, Lesotho visa zake zinaanzia siku 90 mpaka miezi sita.

Pia zipo za mabara ya ulaya, Asia, America kusuni na Australia japo hizi ni chache zaidi.
 
Egypt iondoe apo
 
Bro nataka fahamu utaratibu Wa kusafiri, ni km tunavyoingia Uganda na Kenya tuu au hadi uwe na sababu, mtu na vitu km hivyo
 
Nchi tunazoingia bila visa hazina lolote la maana...za maana zote wamebana
 
Google zipo nyingi kwa Africa bila kusahau msumbiji na malawi almost zote kutoa chache tu like Egypt, ivory coast, south Africa, Lesotho visa zake zinaanzia siku 90 mpaka miezi sita.

Pia zipo za mabara ya ulaya, Asia, America kusuni na Australia japo hizi ni chache zaidi.

Usidanganye umma kaka, Australia huwezi ingia bila visa! Nchi za visa free hua hata hazina maana kiviiilee
 
Back
Top Bottom